kitanda na godoro vinatafutwa,,
ukubwa wa kitanda kiwe 5 kwa 6.....price 90 hadi 100k inategema na muundo wa kitanda chenyewe
Godoro ukubwa uwe 5 kwa 6...Price 90 ama laki kimoja inategmea na ukubwa wa inch na upya wa godoro lenyewe..
wahi sasa maana muda ni masaa 24 tu ambao kitanda kinatakiwa kiwe kimepatikana