Kitanda na godoro vinauzwa Zanzibar

Kitanda na godoro vinauzwa Zanzibar

Baba Ndubwi

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2013
Posts
1,223
Reaction score
1,992
Wakuu habari ya muda huu
Vyote vipo katika hali nzuri.
Ukitaka kukagua Vipo Kikwajuni.
Bei ya jumla ni laki tano na elfu hamsini.
Godoro pekee bei ni laki moja na themanini alfu.
Kitanda pekee bei ni laki 3 na elfu hamsini.
Sababu ya kuuza:Anahamia bara mwenye navyo.
NB;Mimi sio vyangu isipokuwa kuna mdada kaomba nimtaftie wateja,mtu akihitaji namuunganisha nae chap.

1000053613.jpg
1000053615.jpg
 
Umenikumbusha nilinunua gari ya biashara kwa mpemba...mbona nilijuta,nikaambiwa gari imetupiwa majini....mwisho likiashia kupata ajali ya kutotengenezeka.....sasa isije ikawa na uko kwenye godoro na kitanda ameacha majini yake bure
 
😁😁😃😃duh hakuna mdudu hapoo
 
Umenikumbusha nilinunua gari ya biashara kwa mpemba...mbona nilijuta,nikaambiwa gari imetupiwa majini....mwisho likiashia kupata ajali ya kutotengenezeka.....sasa isije ikawa na uko kwenye godoro na kitanda ameacha majini yake bure
Ivi nyie watu nani anowaaminisha huu ujinga?

Utakuta huyu jamaa ana masters ila kadanganywa hivi na illiterate person ata la saba hajafika
 
Ila kununua godoro used yataka moyo.

Hapo hujui muhusika alikuwa na michezo gani. Unaweza jikuta unalalia kinyesi cha kiume ikizingatiwa ni Zanzibar🤣🤣.

Ukute vitu vya afande Rama hivi🤣
 
Back
Top Bottom