Baba Ndubwi
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 1,223
- 1,992
Hii ni pesa ya nchi gani? Ama ndio pesa za Znz!!!Bei ya jumla ni laki tank na elfu hamming
nimeishia kucheka...dah😆..🚮Hii ni pesa ya nchi gani? Ama ndio pesa za Znz!!!
😁😁😁😃😃duh uko fasta mkuu....nisharekebisha maana nimeandika nikiwa nimeshikilia bakuli la urojo hapa.Hii ni pesa ya nchi gani? Ama ndio pesa za Znz!!!
Hali mbaya mkuu, ila nisharekebishaLaki tank ndio nini kijana hebu tuliza akili kwanza uandike vizuri
Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi tena mkuuNyie mnachezea Jamiiforums
Anahama muhusika aliyekuwa anavitumiawewe utalalia nini sasa?
Resiti za kununulia ziko wapi? Au vya kuibaWakuu habari ya muda huu
Vyote vipo katika hali nzuri.
Ukitaka kukagua Vipo Kikwajuni.
Bei ya jumla ni laki tano na elfu hamsini.
Godoro pekee bei ni laki moja na themanini alfu.
Kitanda pekee bei ni laki 3 na elfu hamsini. View attachment 2772998View attachment 2772999
🤣🤣🤣Laki tank ndio nini kijana hebu tuliza akili kwanza uandike vizuri
Sent using Jamii Forums mobile app
Kila kitu kipoResiti za kununulia ziko wapi? Au vya kuiba
😁😁😃😃duh hakuna mdudu hapooUmenikumbusha nilinunua gari ya biashara kwa mpemba...mbona nilijuta,nikaambiwa gari imetupiwa majini....mwisho likiashia kupata ajali ya kutotengenezeka.....sasa isije ikawa na uko kwenye godoro na kitanda ameacha majini yake bure
Ivi nyie watu nani anowaaminisha huu ujinga?Umenikumbusha nilinunua gari ya biashara kwa mpemba...mbona nilijuta,nikaambiwa gari imetupiwa majini....mwisho likiashia kupata ajali ya kutotengenezeka.....sasa isije ikawa na uko kwenye godoro na kitanda ameacha majini yake bure
🤣Hii ni pesa ya nchi gani? Ama ndio pesa za Znz!!!