INAUZWA Kitanda na godoro vinauzwa

INAUZWA Kitanda na godoro vinauzwa

dropetch

Member
Joined
Aug 3, 2017
Posts
88
Reaction score
80
Kitanda na godoro vinauzwa ,tano kwa sita...
Nipo Ubungo External
Bei vyote 280K
Ukitaka kimoja maelewano yapo pia

Simu:
0675 425 148
IMG-20180725-WA0023.jpeg
IMG-20180725-WA0025.jpeg
IMAG0457.jpg
 
Mkuu umeamua kuuza usingizi! Pole sana na yalaaniwe mawe yote!
 
bila shaka unatarajia kupata mgeni wa mluguru..heri wasikute kitanda wakikuta unaingia nae mkataba haondoki hadi ufe
 
Back
Top Bottom