Posho City
JF-Expert Member
- Mar 15, 2012
- 648
- 418
Ndugu wadau mimi nimepata uhamisho kikazi toka Dar kwenda Geita kwahyo nataka niuze vitu vinavyoweza sumbua kubeba.
Kwanza ni kitanda cha 5*6 na godoro lake aina ya Dodoma.
Vitu hivyo vipo Tabata segerea maeneo ya sanene.Bei ni shilingi 250,000/-
kwa simu nipgie 0716060380
Mkuu nisaidie kupata majibu ya maswali haya then tunaweza kuongea business: kitanda kimetengenezwa kwa mbao za mti gani? Umekitumia kwa muda gani? Vp kuhusu papuchi, umeshafanya dissemination ya pauchi ngapi juu ya hicho kitanda? Hahahahahahaaaaaa just for fun don' mention.
Kwa hiyo siku hizi Mapadri upanga mitaani haya Pedro mtarajiwa wagishage Pye Geitaumenichekesha mkuu.mbao sijui ni zipi ila ni hivi vitanda common vinavotengenezwa kwa wingi.muda ni tangu mwezi march mwaka huu.papuchi hakuna coz mimi ni padri mtarajiwa