fh kwenye beat,
mkuu ndo mana nimeandika kama utahitaji maana nimeondoka gafla,nilichofanya nikukifungua na kupeleka kwa jamaa yangu store akiweke kwa mda mpaka nitakapo pata tamati yake..na ndo mana picha hakijapigwa ila nikipata mtu anayekihitaji akinitafuta private picha ntamuomba jamaa anipigie...
sipendi kumsumbua mtu aliyenistili mali yangu istoshe natest mitambo maana pia naweza kisafirisha maana ni akiba pia.
natanguliza shukran