INAUZWA Kitanda used mbao mninga 6x6 kinauzwa

Spliffcharm

Senior Member
Joined
Jun 21, 2020
Posts
136
Reaction score
370
Nauza kitanda mbao aina ya mninga cha ukubwa wa 6x6. Nmekitumia kwa muda wa miaka minne sasa. Nakitoa kwa bei ya kindugu kabisa na mwingine akaanze maisha. Napatikana mtoni kijichi mbagala kuu Temeke.

Bei ni 90,000Tshs maongezi yapo kidogo sana.

0673958899 Call/whatsapp.

 
Labda kindugu kabisa nakupa 30,000/=
 
Mbele ni wapi na nyuma ni wapi?
 
Ni dizaini za kizamani kama hakijatengenezwa miaka ya tisini ni 2000 mwanzoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…