Kitanda usichokilalia bana daah!

ndayilagije

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2016
Posts
7,491
Reaction score
8,304
Yaani nashindwaga kuelewa haya mambo mimi!
1_wanaomlaumu Chibu Dee ndiyo wanaowadis singo maza kila siku.mnajua mateso aliyoteseka uswahilini na mzazi mmoja kijana,masimango na kejeli alizopata mnazijua?
2_Mliomshangilia muongoza njia (RIP) mnajua singoz alizotengeneza?
3_Mnaotamani kuwa kama mrithi wa marehemu Kanumba!mnajua mioyo aliyoijeruhi mpaka Sasa?
4_Mnaomdis binti machozi mnajua uchungu wa kufiwa na kipaji kwa kukosa jukwaa la kukionesha?
5_Mnaomsemasema mzee mhama vyama mtanga na njia mnajua fedha alizotumia kutafuta tiketi nyie,au mnasema tu.
Adhabu ya kaburi tumwachie maiti.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…