Ndugu yangu mimi kitanda changu teremka tukaze hayo ya uimara na sijui nini sidhani yanaapply hapo
Kitanda ni kitu ambacho watu wengi sana hawajui nguvu yake kwenye kujenga mahusiano Bora yenye kuvutia. Jinsi kitanda kinavyotandikwa, aina ya mashuka yanayotumika,Rangi zake, yalivyoshonwa,usafi wa mashuka yenyewe,Ghodoro liliopo Kitandani, sehemu kilipowekwa kitanda,Uimara wa kitanda, aina ya kitanda chenyewe,chandarua kilichotundikwa na jinsi kinavyochomekwa ni mambo muhimu sana kwenye saikolojia ya watu waliomo kwenye Mahusiano.
Ukiwa kitandani kitafakari KITANDA na nguvu yake kwenye mahusiano yenu!!

kitanda kweli kiboko yaani kila dizaini chenyewe kinabeba hasa ukikute ni six kwa six balaa tupu shuka white lazima uogope kulala mkuu..
Eti ni kweli kwamba mambo ya u-smart kwenye kitanda ni mambo ya wanawake, wanaume hayawahusu!?
Inawezekana kabisa. Kama wawili hawaelewani (sababu isiwe kufumaniwa) na kitanda kikawa kinaandaliwa vizuri basi bila shaka mahusiano yataboreka kabisa!!KITANDA!!!!!!!!????????
Sijui, kama hakuna mapenzi ya kweli na kitanda kikiandaliwa vyema chaweza rudisha mahusiano
Lbada tukiweka masharti ianawezekana