Kitanda!!

Hao hawafuati "mahusiano" bali wanafuata ngono. Ngono hata jalalani inawezekana!!
 
Si umeona wengine wanasema wao hata wakikuta kitanda kiko vururuvururu wao haiwapi shida!!

hao wavivu tu wa kusafisha mazingira, mie kitanda iikiwa na kitone kidogo tu cha mchanga siwezi kulala, mashuka yakiwa nyafunyafu sipati usingizi loh!!!!!!
 
Haswaaa umenena mkuu, kitanda kinahucka sana kuongeza mvuto na kutia nakshi kwnye mahusiano pale TU kitakapowekwa kwele hali nzuri,especially swala la usafi,aina ya godoro+rangi za mashuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…