Aisee, dawa ya moto ni moto. Na wewe pia jikamatie wako, kisha mkaribishe mumeo nyumbani kwako mdanganye unataka mzungumze. Basi anapobisha mlangoni, wewe jitundike kwenya ile position uliyompiga picha. Acha nawe anusurike sawa sawa, mshenzi.
Samehe saba mara sabini!hakuna kosa lisiloweza "kusameheka"sijui kiswahili sahihi!
Mamaa, get out while the going is still good! Usisubiri mpaka siku utolewe macho ndio uanze kusema 'ningejuaa'....! tatizo la nyinyi mama na dada zetu ni kutojiamini kwamba ukiachana na mumeo huwezi kuwa na maisha tena which is wrong. wale wamama wenzenu mnaowana wametolewa macho na meno ilianza kidogo kidogo. anapigwa kibao, anasamehe na kuvumilia. kesho mume analala nje, anavumilia kisa eti kwa ajili ya watoto. kesho kutwa mume anakuja na mwanamke ndani ya nyumba, bado anaambiwa na mama yake avumilie kwa sababu wanaume ndivyo walivyo, pleeeeeeaasea! get real, people!
Dharau ya mwisho kabisa mwanaume anayoweza kumfanyia mkewe ni ile ya kumleta mwanamke mwingine ndani ya nyumba na kufanya naye matusi juu ya kitanda chenu cha ndoa, pamoja na gesti house bubu kibao zilizojaa huko vichochoroni!
Huyo mumeo ameishakuona unamtegemea yeye na huwezi kufanya chochote na lazima utarudi tu and you are playing right on his hands! ndio maana kila siku una kazi ya kufunga safari kwenda kuchukua leo gauni, kesho gagulo, keshokutwa viatu! really??!!! kwa nini hukuchukua vyote tangia mwanzo ili huyo mumeo ajue kwamba kazi ipo???!!!??
JIULIZE: hivi toka ulivyokwenda kukaa kwa nduguzo ameishakuja mara ngapi kukubembeleza na kukuangukia angalau mzungumze tu??? kuwa mkweli.
Eeeh anakuja kufanya nae matusi kwenye kitanda chenu ili awe anavuta hisia za mapenzi ambayo hupewa na mkewe then ana compare.Mamaa, get out while the going is still good! Usisubiri mpaka siku utolewe macho ndio uanze kusema 'ningejuaa'....! tatizo la nyinyi mama na dada zetu ni kutojiamini kwamba ukiachana na mumeo huwezi kuwa na maisha tena which is wrong. wale wamama wenzenu mnaowana wametolewa macho na meno ilianza kidogo kidogo. anapigwa kibao, anasamehe na kuvumilia. kesho mume analala nje, anavumilia kisa eti kwa ajili ya watoto. kesho kutwa mume anakuja na mwanamke ndani ya nyumba, bado anaambiwa na mama yake avumilie kwa sababu wanaume ndivyo walivyo, pleeeeeeaasea! get real, people!
Dharau ya mwisho kabisa mwanaume anayoweza kumfanyia mkewe ni ile ya kumleta mwanamke mwingine ndani ya nyumba na kufanya naye matusi juu ya kitanda chenu cha ndoa, pamoja na gesti house bubu kibao zilizojaa huko vichochoroni!
Huyo mumeo ameishakuona unamtegemea yeye na huwezi kufanya chochote na lazima utarudi tu and you are playing right on his hands! ndio maana kila siku una kazi ya kufunga safari kwenda kuchukua leo gauni, kesho gagulo, keshokutwa viatu! really??!!! kwa nini hukuchukua vyote tangia mwanzo ili huyo mumeo ajue kwamba kazi ipo???!!!??
JIULIZE: hivi toka ulivyokwenda kukaa kwa nduguzo ameishakuja mara ngapi kukubembeleza na kukuangukia angalau mzungumze tu??? kuwa mkweli.
Mkuu na huku uko fit kumbe?....ukisusa wenzio wala!!!
Mkuu na huku uko fit kumbe?
Hahaha, interesting 😛