Kitanzi cha Maalim Seif ni katiba yenyewe ya CUF

kamati ya ufundi

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2014
Posts
416
Reaction score
439
830fee729b0c925c5aaf663eebb02ffa.jpg

KITANZI CHA MAALIM SEIF NI KATIBA YENYEWE YA CUF.

KUKWAMA kwa majaribio kadhaa ya Katibu Mkuu wa chama cha wananchi( CUF) Maalim Seif Sharif Hamad dhidi ya Mwenyekiti wake Profesa Ibrahim Lipumba na viongozi wake waandamizi aliowateua na wengine kuteuliwa na vyombo vya maamuzi vya chama hicho kunatokana na katiba ya chama hicho, imezidi kubainika.

Hivi karibuni Katibu Mkuu wa Chama hicho, Maalim Seif alipata pigo baada ya kukwama kwa jaribio lake la kuwavua uanachama wanachama kadhaa wa chama hicho akiwemo Magdalena Sakaya ambaye ni Naibu Katibu Mkuu wa CUF Bara na Kaimu Katibu Mkuu wa chama hicho Taifa ambaye pia ni mbunge wa jimbo la Kaliua, Mkoani Tabora sambamba na Maftah Nachuma ambaye ni mbunge wa Mtwara Mjini.

Sambamba na jaribio hilo kukwama, wiki chache zilizopita Wakala wa Usajili, Ufilisi na Uthamini(RITA) iliridhia usajili wa wajumbe wapya wa bodi ya wadhamini baada ya kuisha kwa muda wa bodi ya awali ya udhamini wa chama hicho.

Jambo hilo linathibitisha kumuondoa Maalim Seif katika nafasi ya kushinda imani ya wananchama wa CUF baada ya kuenea kwa tetesi kwamba bodi mpya ya wadhamini imeunda na wanachama wanaomuunga mkono Mwenyekiti wa Chama hicho, Profesa Lipumba.

Kitendo cha kutambuliwa kwa bodi mpya ya wadhamini wa CUF, kinatoa taswira kuwa kuna uwezekano wa kufutwa kwa mashtaka yote yaliyofunguliwa na bodi ya awali ya udhamini, bodi ambayo kwa mujibu wa katiba ya chama hicho, ndio imepewa mamlaka ya kushtaki na kushtakiwa kwa niaba ya chama cha CUF.

Aidha maung’uniko ya muda mrefu ya katibu mkuu huyo wa chama hicho kuwa kurudi kwenye kiti kwa mwenyekiti wake Lipumba kunatokana na kubebwa na ofisi ya msajili wa vyama vya siasa nchini inayoongozwa na jaji Fransis Mutungi yameonekana kukosa mashiko.

Hali hiyo, inatokana na Lipumba baada ya kujua kwamba katiba ya chama hicho inamruhusu kutengua uamuzi wake kutokana na kutokukubaliwa kwa ombi lake na mamlaka iliyomchagua.

Taarifa zaidi zinasema kwamba kuzembea kwa katibu mkuu huyo kuchukua uamuzi wa kuitisha mkutano mkuu wa chama hicho haraka mara tu baada ya kupokea barua ya Lipumba ya kujiuzulu ambapo mkutano huo ungepiga kura ya siri ya kuridhia ombi hilo na hatimaye Lipumba kuwa ameondoka rasmi kwa kufuata matakwa ya katiba ndiko kumesababisha mtanziko unaendelea hivi sasa.

‘’Katiba ilimtaka katibu mkuu kuitisha mkutano mkuu maalum kwa ajili ya kujadili na kupiga kura juu ya barua ya Profesa lakini Maalim hakuitisha, hiyo hata ule mkutano wa Agosti 21 pale ubungo plaza haukuwa na lengo la kujadili barua ya Profesa bali ni kuchagua tu Mwenyekiti ambapo kina Taslima walikuwa wanagombea, lakini tulipokataa kwa nguvu ndio ikachomekwa hiyo agenda na hata hivyo hatukufikia hatua ya kupiga kura’’. Anasema mjumbe mmoja wa mkutano mkuu wa chama hicho kutokea viwani Zanzibar tunayemuhifadhi jina lake kwa sasa.

Kwa kifupi Ibara ya 117(2) ya katiba ya CUF inataka ili kiongozi ahesabike amejiuzulu ni lazima mamlaka iliyomchagua ikubali ombi lake, ambapo kwa Profesa Lipumba mamlaka hiyo ni Mkutano mkuu wa chama hicho ambao haujaridhia ombi hilo . Hata hivyo Maalim Seif na timu yake wanaukwepa ukweli huo wa katiba yao na kueneza propaganda dhidi ya Msajili na Serikali.

Ibara hiyo ya 117 kifungu kidogo cha (2) inasomeka kama ifuatavyo ‘’Kiongozi atajiuzulu kwa kuandika barua na kuweka saini yake kwa katibu wa mamlaka iliyomchagua au kumteua na kiongozi huyo atahesabiwa kuwa amejiuzulu ikifika tarehe aliyoiainisha katika barua yake kuwa atajiuzulu pindipo akikubaliwa na mamlaka iliyomchagua au iliyomteua, au kama hakuainisha tarehe ya kujiuzulu kwake basi atahesabiwa amejiuzulu mara baada ya katibu wa mamlaka iliyomteua au kumchagua kupokea barua hiyo na mamlaka iliyomchagua au kumteua kukubali ’’.

Hivi karibuni gazeti hili liliripoti kuwa hali ya mambo inazidi kwenda kombo kwa upande wa Maalim Seif katika mgogoro wa kiuongozi unaoendelea baina yake na mwenyekiti wa Taifa wa Lipumba.

Kitendo cha Mwenyekiti wa Chama hicho, Profesa Lipumba kuwavua uanachama wabunge nane na madiwani wawili wa viti maalum kitendo kilichoonyesha kufuata taratibu zote za kisheria na katiba ya ndani ya chama hicho na hatimaye kubarikiwa na ofisi ya Bunge, Tume ya taifa ya Uchaguzi na msajili wa vyama vya siasa.

Taarifa zaidi inaelezwa kinaelezwa kumpagawisha Katibu Mkuu huyo na timu yake kiasi cha kuamua na yeye kuwavua uanachama wanachama wengine kadhaa akiwemo mbunge na Naibu Katibu Mkuu anayekaimu majukumu ya Katibu Mkuu wa chama hicho kwa sasa kutokana na kutokufika ofisini kwa Maalim Seif tangu mwezi Septemba, 2016.

Mmoja wa wanaharakati wa siasa nchini, Joseph Zabron, alisema huu ndio wakati wa Maalim Seif kukaa mezani na Profesa Lipumba kuyamaliza mambo yote kwa kuwa chama imara ni maelewano na si kuanza kutoa shutuma kwa vyombo vya dola.

“Hili suala ukilitizama kwa umakini si Msajili wa Vyama, Bunge wala Tume au Mahakama unaweza ukasema inaingilia CUF zaidi ya Katiba yao wenyewe na ndio maana wao wenyewe wamekwenda mahakamani kukatia rufaa maamuzi ya msajili, lakini maamuzi halali hayakatiwi rufaa,’’alisema.

Kadhalika, wakati hayo yanaendelea hivi karibuni Mwenyekiti wa Chama hicho alifanikiwa kusajili upya bodi ya wadhamini wa chama hicho baada ya ile ya awali kumaliza muda wake wa mujibu wa sheria jambo ambalo limezidisha pigo kwa timu ya maalim seif kwa sababu bodi ya wadhamini ya chama chochote cha siasa huwa moja tu inayosajiliwa na RITA na kwa mujibu wa katiba ya CUF bodi hiyo ndio mamlaka pekee inayoruhusiwa kufanya usimamizi wa jumla wa chama hicho ikiwemo kushtaki na kushtakiwa jambo linalohatarisha uwepo na uhalali wa kesi zilizofunguliwa na bodi ya awali dhidi ya Msajili wa vyama na Lipumba juu ya masuala kadhaa.

Aidha, kukwama huko kwa maalim Seif katika kile anachokiita mapambano ya kukinusuru chama hicho, kunamfanya sasa abadili mawazo na kujiandaa kuhamia chama kingine kikubwa cha upinzani hapa nchini chenye ngome yake kuu Tanzania bara.

Taarifa zaidi zinaonyesha kwamba mpaka sasa maalim na watu wake wameshakubali kuwa kisheria hawawezi kumshinda Prof. Lipumba na kwamba wamebakiwa na njia mbili pekee ama wahame kuhamia chama hicho kikubwa cha upinzani Tanzania bara ama waanzishe chama chao wenyewe kipya.

Mjadala unaoendelea hivi sasa baina ya wadau muhimu wa timu ya maalim Seif ni kwamba iwapo uamuzi utakuwa ni kuwa wanahama, je watahama na vyeo vyao walivyokuwa navyo wakiwa CUF kama hicho cha Katibu mkuu na vya baadhi ya vya wakurugenzi au watahamia na kuwa wanachama wa kawaida jambo ambalo wanahisi litawapunguzia nguvu ya kufanikisha agenda yao ya kuendelea kudai maslahi yao ya kisiasa yanayotokana nauchaguzi mkuu uliopita.

Taarifa hizo pia zinaeleza kuwa mpaka sasa majadiliano ya kina ya namna gani Maalim na timu yake watahamia chama hicho yameshaanza na yanaratibiwa vizuri na wanasiasa kadhaa mashughuli hapa nchini wakishirikiana na baadhi ya wafanyabiashara wenye vinasaba na chama hicho.

Ikiwa mwanasiasa huyo atahama chama hicho na kujiunga chama kingine kama njia ya kufikia lengo lake la kisiasa, kitakuwa ni kielelezo mahsusi cha kudhibitiwa na Prof. Lipumba katika kuijua na kuifahamu katiba ya chama hicho na pia ndio utakuwa mwisho wa ushirikiano wa Umoja wa Katiba ya Wananchi UKAWA.

Alipotafutwa na gazeti hili msajili wa vyama vya siasa Jaji Fransis Mutungi, ameendelea kusisitiza kwamba ofisi yake itaendelea kufanya kazi za kuvisimamia vyama vyote vya siasa vilivyopo hapa nchini kama sheria iliyoviasisi inavyosema na kuongeza kuwa kinachoendelea ndani ya Cuf ni matokeo ya utekelezaji wa katiba ya chama hicho ambacho wameitunga wenyewe.

‘’mimi ofisini kwangu ninasajili vyama baada ya kuzipitia katiba zao na kujiridhisha kuwa hazikiuki masharti ya sheria za nchi, nikizipokea na kujiridhisha siongezi wala kupunguza kitu chochote zaidi ya kuzisajili, na kama ujuavyo katiba ikishapitishwa kinachofuata ni kutekelezwa tu’’. Alisema Msajili Mutungi

‘’kwa hiyo Lugha nyepesi kabisa kuitumia ni kwamba mchawi wa Cuf si Mutungi wala nani, Mchawi wa Cuf ni katiba yao wenyewe, waifate katiba yao inavyoelekeza nina imani hakuna malalamiko yatakayotokea, lakini kama wataendelea kufanya mambo kwa hisia na utashi binafsi, basi haya wataendelea kulalamikiana daima’’. Aliongeza mtaalamu huyo wa maswala ya sheria.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo watakuja kuleta propaganda. Anatumika, si alijiuzulu mwenyewe sasa anarudi kufanya nini? Rimoti ipo jumba jeupe, mikakati ya kuua upinzani, ameñunuliwa kuihujumu znz, msjili Wa vyama vya siasa Sijui kafanyaje. Katiba kwanza mengine baadae, UKAWA kirefu chake nini vile?
 
Watu wamekula hela za Lowassa lakini shwari ila Lipumba kula hela la ccm watu wanatokwa mapovu.
 
Ni vizuri ilo gazeti wangeliita jamvi la WAGENI.

Sent using Jamii Forums mobile app
Uprofesa Si Usanii Ni Kuona Mambo Katika Jicho Lingine Ndio Maana Wapo Wachache........ Prof Lipumba Kashawazidi Kete wakina maalim SEIF.chamsingi watulie tu maana hawana ujanja tena kama walifanya mistake wenyewe imekula kwao.
 
Una KUMBUKA BARUA YA LIPUMBA KUJIUZULU UWENYEKITI WA CUF.?

Tanzania zaidi ya uijuavyo
 
Nafurahishwa sana na harakati za Mbarala Maharagande Kaimu Mkurugenzi wa Habari na Uenezi wa kambi ya Maalim Seif. Ananikumbusha sana vita vya lraq na Marekani na Washirika wake.

Nakumbuka pamoja na kipigo kikali walichokuwa wanakipata kutoka kwa wavamizi wale, lakini Abuu Al Sayaf aliyekuwa Waziri wa Habari na Mawasiliano wa Iraq wakati ule alikuwa jasiri wa kujitokeza mbele ya vyombo vya habari na kusema "Amerika na Washirika wake wote wamekwisha, tumewawekea mtego wameingia kichwakichwa na sasa tumewamaliza wote"!. Kamaliza propoganda zake anaambiwa mzee uko chini ya ulinzi. Hadi leo hatujawahi kuambiwa kinara yule wa propoganda Abuu Al Sayaf alipotezewa wapi!

Ssa ni huyu Mbarala Maharagande, pamoja na kukamatwa ldara zote na Team Lipumba, bado anapata ujasiri wa kuitisha press na kusema "Bado Chama kiko mikononi mwetu, Lipumba na vibaraka wake wamekwisha"Duh!

Mchawi wa CUF ni Katiba yao wenyewe na viongozi wake wa Kitaifa wakiongozwa na Maalim Seif, Julius Mtatiro na kwa mbaaaali team Lipumba.

Pambaneni na hali zetu msiilaumu Serikali na vyombo vyake!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo watakuja kuleta propaganda. Anatumika, si alijiuzulu mwenyewe sasa anarudi kufanya nini? Rimoti ipo jumba jeupe, mikakati ya kuua upinzani, ameñunuliwa kuihujumu znz, msjili Wa vyama vya siasa Sijui kafanyaje. Katiba kwanza mengine baadae, UKAWA kirefu chake nini vile?
Siku moja niliwahi kusema viongozi wa cuf hili jambo wasilichukulie simple watumie weledi kulimaliza hizi kauli za kusema Lipumba apuuzwe au Lipumba amechanganyikiwa ni kauli za hovyo na zitakigharimu chama hatimaye leo yanaoneka,

Lipumba ameweza kurudi ofsini na msajili anamtambua unakuja na kauli apuuzwe Lipumba huyu huyu amefanikiwa kusajili bodi ya wadhamini bado unasema apuuzwe Lipumba huyu huyu mmemvua uanachama lakini bado anafanya kazi za chama na zinatambulika kikatiba bado mnasema apuuzwe amechanganyikiwa huu ni upeo mdogo wa kufikiri Lipumba alipaswa kushughulikiwa titi for tati sio kimasihara ila kwa sasa wamechelewa kwa hatua walio fikia team seif isitegemee kushinda vita hii walicheka na nyani wasubiri kuvuna mabua.
 
Back
Top Bottom