Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Himaya huinuliwa na watu na himaya huangushwa na kupitia..
Ni kwa kupitia maono, mahitaji ya nyakati na kikomo cha muda.. Utawala husimama ama huanguka
Watu kama viumbehai vyenye utashi ni mtaji mkubwa sana kwenye himaya yoyote ile.. Watu hao hugawanyika katika makundi kadhaa
Wabeba maono/waongoza njia
Wasaidizi wao
Watendaji wakuu
Watendaji wa kati
Watendaji wa chini
Wanahimaya waongozwaji.. Watawaliwa..!
Hili kundi la mwisho ndio kundi msingi lenye mrejesho halisi toka kwa makundi mengine yote! Mrejesho hasi ama chanya!
Kuna kitu kipya kimeibuka sasa kunaitwa kitchen cabinet.. Unaweza kutafsiri kama kabati la jikoni ama baraza la jikoni nknk..
Jiko ndani ya nyumba ni muhimu sana maana ndipo kilipo chanzo cha shibe na nishati ya himaya ya mwili...
Waswahel wanasema nyumba ni choo.. Kwakuwa ni rahisi kutunza kilichoko jikoni(kiingiacho) kuliko kitokacho
Meko njema hustawisha afya na uhai wa wana familia ndani ya kaya! Meko mbovu ni sumu na anguko la kaya ndani ya familia
Kitchen cabinet inayopigiwa kelele kwa kila aina ya ubaya na uchafu sijui iko halali kiasi gani kisheria.. Lakini kutokana na mazonge yake inaweza kuwa ndio chetezo cha anguko la himaya 2025.. Kwakuwa uturi wake haunukii tena bali unatoa harufu kali ya uvundo unukao sana na Wanahimaya wamechoshwa na harufu mbaya