T tempid JF-Expert Member Joined Sep 22, 2018 Posts 1,053 Reaction score 1,657 Sep 13, 2020 #1 Habari JF Natafuta fundi wa kufunga makabati ya jikoni. Yale special ya kupachika tu. Kama unaweza hii kazi tuwasiliane PM.
Habari JF Natafuta fundi wa kufunga makabati ya jikoni. Yale special ya kupachika tu. Kama unaweza hii kazi tuwasiliane PM.
Ncha Kali JF-Expert Member Joined Sep 19, 2019 Posts 15,335 Reaction score 29,114 Oct 31, 2020 #2 Ya kupachika tu si upachike sasa!