Kuna kaukweli hapa! Tumngoje Kibanga Amkimbiza Mkoloni na Mkimbizwa kwao waje na falsafa zao tuoneMimi naona hizi kitchen party hazina mashiko au tija kabisa haswa kutokana na wadada wengi kutojifunza lolote la maana na kutia aibu pindi waingiapo kwenye ndoa. Utakuta eti wanafundishana kukata kiuno?! Hivi utamfundisha mtu kukata kiuno unajuaje huko anakokwenda kumegwa atawekwa style gani? Au atakuwa amelalilwa na mtu mkubwa kama tembo? Badala ya kufundishana yaliyo bora kumuenzi mumewe, wanafundishana upupu mtupu!! Au kama Mkimbizwa kwao alivyosema wajifunze kujisafisha vema ili janga la kitaifa la kunuka K liishe. Zipigwe marufuku hizi kitchen Party.
Jamaa gani mkuu??Huyu jamaa karudi tena.
Habari ndo hiyoKudadadadadeeeki!
Jamaa gani mkuu??
eti eeeh? nitazitema za uswaziacha kuenda kitchen party za uswazi salimia! mi sijawahi ona wanafundishwa kukata viuno,actually kuna issues za family relations and economics.
<br />eti eeeh? nitazitema za uswazi
<br />Mimi naona hizi kitchen party hazina mashiko au tija kabisa haswa kutokana na wadada wengi kutojifunza lolote la maana na kutia aibu pindi waingiapo kwenye ndoa. Utakuta eti wanafundishana kukata kiuno?! Hivi utamfundisha mtu kukata kiuno unajuaje huko anakokwenda kumegwa atawekwa style gani? Au atakuwa amelalilwa na mtu mkubwa kama tembo? Badala ya kufundishana yaliyo bora kumuenzi mumewe, wanafundishana upupu mtupu!! Au kama <font color="#FF0000"><i><b>Mkimbizwa kwao</b></i></font> alivyosema wajifunze kujisafisha vema ili janga la kitaifa la kunuka K liishe. Zipigwe marufuku hizi kitchen Party.
salimia bana....'una nyingine zinafundisha mambo ya maana bana. Halafu alokwambia mkubwa kama tembo
hawezikatiwa kiuno ni nani?!! Lol
kha nashangaa sana, ina maana wanene hawakatiwi eeee, hizi kp zitakuwa za uswazi, jamaa kakasirika kaombwa pesa ya bibi harusi kushona nguo ya KPSalimia bana....'Una nyingine zinafundisha mambo ya maana bana. Halafu alokwambia mkubwa kama tembo hawezikatiwa kiuno ni nani?!! LOL
eeehhhhhhhh??????
Wewe una makusudi wewe..lol
Kitchan party siku hizi wanapewa vyombo tu hakuna laziada
matusi na mauno labda uswahilini, au kibao kata sijui