stephot
JF-Expert Member
- Mar 1, 2012
- 17,216
- 26,225
Wadau hebu tumbizane jamani hivi hizi kitchen Party zinasaidia/zina faida gani (tuwe wa kweli) kwenye kutunza ndoa au tunaliana hela tu,maana mimi mwezi huu nina harusi za ndugu jamaa na marafiki 6 zimeshanitoa laki 6,katika hizo 5 niko kwenye ku-send-off which means kitchen party iko ndani,ukichukulia kuwa mke wangu lazima achangie vigharama vya kitchen party,kwa hiyo ni zaidi ya laki sita.kama kuna mtaalamu atumwagie faida zake.:A S 12: