Kitchen party

stephot

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2012
Posts
17,216
Reaction score
26,225
Wadau hebu tumbizane jamani hivi hizi kitchen Party zinasaidia/zina faida gani (tuwe wa kweli) kwenye kutunza ndoa au tunaliana hela tu,maana mimi mwezi huu nina harusi za ndugu jamaa na marafiki 6 zimeshanitoa laki 6,katika hizo 5 niko kwenye ku-send-off which means kitchen party iko ndani,ukichukulia kuwa mke wangu lazima achangie vigharama vya kitchen party,kwa hiyo ni zaidi ya laki sita.kama kuna mtaalamu atumwagie faida zake.:A S 12:
 
kitchen party ianfaida zake, malengo yake haswa yalikuwa ni kumfunza ama kumfunda mwanamke namna ya kutunza familia na mume wake anapoolewa ilikuwa inadeal na mambo ya mapishi na chumbani pia, kwanza ilikuwa ikifanyikia nyumban kwa bi harus mtarajiwa na wahusika walikuwa ni kina mama tu, kwa hyo kila mmoja alimuasa binti namna ya kuitunza vizur familia na mambo mengine ya nyumbani ikiwamo usafi, heshima, na ukarimu na mengine kama hayo. siku hz kitchen party nin ya ukumbini tena na wanaume akiwemo mume mtarajiwa anakuwepo. imekuwa kiufahar zaid imepoteza sana maana yake halisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…