Habari zenu...
Leo nimepata wzo:lets share tricks za jikoni,hope kila mtu ana za kwako....
Ntaanza mimi lol....
#1 ) jinsi ya kutumia mdalasini (cinamon) kuondoa harufu mbaya jikoni.....mfano shombo la samaki,au umepika chakula kimetoa harufu mbaya....
Namna ya kuutumia huo mdalasini....
Wakati unapika mfano unakaanga samaki..katika jiko jengine unaweka maji kiasi then mdalasin unaacha inachemka...
Au kama una jiko moja waweza malizia kupika then ukafanya hiyo process ya kuondoa maharufu.....
Wengi wetu hutamani kula chakula flani lakini tunashindwa kuvipika kwasababu tu vinaacha harufu mbaya ndani ya nyuma....
So trick ni hiyo.....lets enjoy kila kupika kila tupendacho hata kama vina harufu...