Kitchen tricks

farkhina i miss u

Season haijakwisha tuu??

Happy new year
 
Last edited by a moderator:
Shukrani sana bibie farkhina naomba unisaidie namna ya kusafisha frigde manake linatoa harufu siipendi basi tu.
 
Last edited by a moderator:
Shukrani sana bibie farkhina naomba unisaidie namna ya kusafisha frigde manake linatoa harufu siipendi basi tu.

Sawa usijali...

Namna ya kusafisha fridge....

1)hakikisha vyakula vyote vilivobakia unaweka kwenye bakuli yenye ufuniko ndio unaweka frijini....
2)osha matunda ama vegetables kama ya kuweka ndani ya fridge...
3)ondoa vyakula vyoye ndani ya fridge tupa kila kilivho expire au kukaa zaidi ya 6 months....then toa shelving na drawers then osha kwa sabuni na sponge laini then futa kwa kitambaa safi ili vikauke....
4)pulizia cleaning solution katika fridge then tumia sponge safi kufuta....kama huna cleaning solution tumia......( i)2 tablespoon ya baking soda na maji ya moto kidogo.....(ii)apple cider vinegar na maji ya moto kidogo...
2)then safisha nje ya fridge pamoja na milango....

3)rudisha drawers na panga vitu vyako.....
 
Last edited by a moderator:
Akhsante sana bibie,..
 

Asante sana yaani mimi kila kitu huwa natayarisha kabka maharage njegere na jamii ya kunde zote huwa nachemsha naweka kwenye freezer inakuwa rahisi kupika hata hizo mboga huwa nakatakata kabisa na kuifadhi.
Chapati pia huwa napika nyingi nasiweka kwenye plastic bag naweka kwa fridge yaani ukitaka kula unaweka kwa microwave faster inaokoa muda sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…