PreGE2025 Kitendawili ACT Wazalendo kupinga kanuni walizosaini

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Your browser is not able to display this video.
 
ACT wanakua kama tren ya ASGR , nyuma mbele Zitto anakiyumbisha sana chama chao sina shida na mwenyekiti wao ,ninao wengi Wazanzibar marafiki zangu nimesoma nao sina shaka kabisa katika misimamo yao ila Zito anakiyumbisha chama chao
 
ACT KWA MAIGIZO WANAONGOZA😂😂
Hawa watu siyo wapinzani. Hizi ni mbinu za kuchota wazanzibar akili ili wapate tena nafasi ya kuingia kwenye serikali ya umoja wa kitaifa wapate ving'ora. Kwanza tafakarini: hivi unaweza kuwa mpinzani wa serikali ambayo unashiriki? Ukikubali kuunda serikali na chama kingine inakuwa automatically umeshakubaliana na sera zao na kila kitu chao.
 
Wako sahihi,kwasababu wasingesaini wangefungiwa.Bora wapate kibali kwanza chakushiriki uchaguzi uku wanapambania hayo mapungufu yaliyopo.Kwasababu huwezi ukapata uhalali wa jambo kama sio sehemu ya jambo lenyewe.
 
kwani upinzani ni kitu gani?.Serikali za umoja wa kitaifa zipo na zinaundwa kwasababu fulani fulani za kukubaliana kutokubaliana.
 
kwani upinzani ni kitu gani?.Serikali za umoja wa kitaifa zipo na zinaundwa kwasababu fulani fulani za kukubaliana kutokubaliana.
Siasa za Zanzibar au Tanzania kila chama kina sera zake. Huwezi kuunda serikali ya umoja halafu ukasema wewe ni mpinzani.
 
Kabisa mkuu. Ni janja janja tu. Wanakunywa supu ya nguruwe Ila nyama wanasema haramu. Inawezekanaje hapo. Hao siyo wapinzani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…