Usher-smith MD
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 9,558
- 12,335
Kuna mzee mmoja huyo anapenda kurekodiwa, yaani kila akienda kanisani lazima arekodiwe na aposti mitandaoni picha na video, huyo mzee ni nani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee mmoja [emoji848][emoji144][emoji119][emoji40]
Jr[emoji769]
Kuishi kwa uoga ni utumwaAchana na hiki kitendawili,kitakusababishia matatizo.
Kusema tu kwa mafumbo ni sehemu ya uoga,vipi badili basi ID yako uacheni na hii fake itapendeza zaidi.Kuishi kwa uoga ni utumwa
Kuwa keyboard hero ndio uogaKuishi kwa uoga ni utumwa
Keyboard hero huyoKusema tu kwa mafumbo ni sehemu ya uoga,vipi badili basi ID yako uacheni na hii fake itapendeza zaidi.
ID hii isikupe mawazo, sio fake.Kusema tu kwa mafumbo ni sehemu ya uoga,vipi badili basi ID yako uacheni na hii fake itapendeza zaidi.
Uoga ni kuishi mtashugulikiwa mkiandika chochote mitandaoni.Kuwa keyboard hero ndio uoga
Sent from Tapatalk
Keyboard hero huyo
Sent from Tapatalk