Kitendawili siku ya mwana....

Magulumangu

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2010
Posts
3,051
Reaction score
461
Wana wawili kijiweni walikuwa wanateta jambo, mmoja akionekana kukerwa na jambo furani, akaanza...
Mkuu leo ile ngozi imenigharimu sana, babake nikaenda kati hamna ukuta, pembeni kulia uterezi tu,kushoto nako kipingamizi hamna, dah nikasita kidogo, nikajaribu juu hamna kitu, chini nako shaa tu...nikaona hapa haiwezekani....
Mwingine kadakia...vipi mwanhuzi nako mterezo au? Jamaaa kasema, sikuamini matumizi yangu mzee, nilipiga huko pia tayari used lkn ilionekana kama mpya, used sana mzee...

kweli mandugu hapa nilitoka mtupu leo...naomba tu mwenye kujua nini kilikuwa kinaongelewa hapoa amwage ili kunisaidia na wengi wetu hapa.....

wenu wa mangu....
 
dahhhh
hawaongelei nanilii kweli hawa..
mmmmmhhhhhhh
 
dahhhh
hawaongelei nanilii kweli hawa..
mmmmmhhhhhhh

AD nawewe bibie dah unazidi kuuua tu...nanihii ndo nini sasa?

haya yaweza kuwa kianzio kizuri cha uteguzi wa kitendawili.............
 
dah! i think wanazungumzia Dawasco! Madem wengi siku hiz hadi DAWASCO napo ni used.hahaaa mambo ya majitaka hayo.!
 
dah! i think wanazungumzia Dawasco! Madem wengi siku hiz hadi DAWASCO napo ni used.hahaaa mambo ya majitaka hayo.!

dawasco tena mhhhhhhhhhhhhhhhh...mimi simo sio tigo tena siku hizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…