Kitendawili tega kati ya Maji na Soda utachaguwa kipi?

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
42,872
Reaction score
34,363
KATI YA MAJI NA SODA UTACHAGUWA KIPI KWA AFYA YAKO? JIBU KWAKO NA KAZI KWAKO MIMI SIMO

1517482_10153793633260198_1553688816_n.jpg
 
Attachments

  • Kati ya Soda na maji utachaguwa kipi.jpg
    Kati ya Soda na maji utachaguwa kipi.jpg
    35.1 KB · Views: 98
Mkuu MziziMkavu kuna atakae chagua soda kweli?
Kwanini umesema hivyo? kuwa hakuna mtu atakae chaguwa Soda kuwa ndio kiburudisho chake? hujuwi Soda ina faida ya wewe kukuongezea kitumbo

kitambi na kukuletea gesi tumboni na kukfanya wewe uwe mteja wa kunywa soda kila siku? Fiada ya maji inakupa Afya

na kukuondoshea maradhi tumboni ,maji inaondosha kuvimbirwa kwa tumbo, maji ni tiba kwa kila maradhi Maji ni uhai kwa

bindamu paispo na maji hakuan uhai. Sasa wewe utachaguwa ipi Maji kwa ajili ya Afya yako au soda kwa ajili ya kuleta

gesi na maradhi mengine? Swali lingine kwa mfano mimi na wewe ni ndugu baba Mmoja na mama Mmoja wazazi wetu

wamefariki wameacha nyumba moja ya gorofa 3 na Pesa Bank Taslim Shillingi Millioni 300 kwa mfano Je wewe

utachaguwa kipi? tunataka mimi na wewe tugawane Je wewe utachaguwa Nyumba ya Gorofa 3? au utachaguwa

pesa?

ninaomba unijibu?
 
nyumba ya ghorofa tatu ni mililon mia5 mkuu
 
Nachukua gorofa nakuachia hela mkuu tena kwa roho safi
Mdogo wangu utafiti kumbe unayo akili nilifikiri utachukuwa pesa za machungwa uniachie nyumba ya gorofa 3 nijidai na mke wangu kumbe akili inafanya kazi kwako hongera sana.

nyumba ya ghorofa tatu ni mililon mia5 mkuu
Hiyo ni mfano tu kaka sio kweli milikuwa ninataka kumpima akili mdogo wangu huyo utafiti kumbe anayo akili hahahhhhh
 
Last edited by a moderator:
Kama ni gorofa kama za DSM zilizojengwa bila vipimo vinavyostahili, zinazoendelea kuanguka bora uchukuwe hiyo hela ukajenge kagorofa kamoja ka uhakika mwenyewe.
 
Mdogo wangu utafiti kumbe unayo akili nilifikiri utachukuwa pesa za machungwa uniachie nyumba ya gorofa 3 nijidai na mke wangu kumbe akili inafanya kazi kwako hongera sana.

Hiyo ni mfano tu kaka sio kweli milikuwa ninataka kumpima akili mdogo wangu huyo utafiti kumbe anayo akili hahahhhhh

Kaka MziziMkavu kwa majukumu ya hapa mjini akili ni lazima itulie tu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom