Kitendawili

Kashaija

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2008
Posts
255
Reaction score
62
Kikiwa kichafu CHEUPE, kikiwa kisafi CHEUSI. Je, ni kitu gani hiki?
 
Mkuu kitendawili chako kigumu, lakini si tatizo mie nakupa mji. Nenda kigoma mwana wane ukale migebuka na muheshimiwa zito. Haya lete jibu sasa
 
Kigoma kwa watani wangu, siendi. Hata hivyo jibu lake ni rahisi sana.
 
au mimi nikupe mji? basi nenda dodoma saa hizi kumetulia wabunge wameondoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…