K Kyachakiche JF-Expert Member Joined Feb 16, 2009 Posts 986 Reaction score 208 May 29, 2009 #21 Jamani kitendawili hiki kilikwishateguliwa? Kama jibu ni "Ndiyo" nipeni hilo jibu, na kama jibu ni "hapana" naombeni jibu tafadhali.
Jamani kitendawili hiki kilikwishateguliwa? Kama jibu ni "Ndiyo" nipeni hilo jibu, na kama jibu ni "hapana" naombeni jibu tafadhali.
J Jibaba Bonge JF-Expert Member Joined May 6, 2008 Posts 1,246 Reaction score 402 May 29, 2009 #22 Mwanakijiji bwana tupe jibu. Basi tukupe ikulu kama hutaki mji uliopewa
Mzee Mwanakijiji Platinum Member Joined Mar 10, 2006 Posts 33,771 Reaction score 41,027 May 29, 2009 Thread starter #23 Jibu la kitendawili chenyewe nimeshasahau.. itabidi na mimi nifikirie tena..!!