Emanuel Makofia JF-Expert Member Joined Jan 5, 2010 Posts 3,832 Reaction score 635 Feb 19, 2010 #1 kitendawili? / / / nipe mji...............
Pearl JF-Expert Member Joined Nov 25, 2009 Posts 3,036 Reaction score 319 Feb 19, 2010 #2 vyote vinapeleka maji mwilini
Masaki JF-Expert Member Joined Mar 7, 2006 Posts 3,463 Reaction score 754 Feb 19, 2010 #3 Ya kwanza unakunywa utotoni, ya pili ukiwa mwanafunzi, ya tatu ukiwa mtu mzima, ya nne ukizeeka!
M mchajikobe JF-Expert Member Joined Aug 14, 2009 Posts 2,661 Reaction score 1,267 Feb 19, 2010 #4 Masaki said: Ya kwanza unakunywa utotoni, ya pili ukiwa mwanafunzi, ya tatu ukiwa mtu mzima, ya nne ukizeeka! Click to expand... Acha uongo unataka kuniambia kila mtu anayewekewa drip ni mzee,au kila ukiwa mtu mzima unakunywa pombe?Wee kama vipi mpe mji tuu!!
Masaki said: Ya kwanza unakunywa utotoni, ya pili ukiwa mwanafunzi, ya tatu ukiwa mtu mzima, ya nne ukizeeka! Click to expand... Acha uongo unataka kuniambia kila mtu anayewekewa drip ni mzee,au kila ukiwa mtu mzima unakunywa pombe?Wee kama vipi mpe mji tuu!!