Kitendo Cha Barbra kuteuliwa CAF kimewapa maumivu makali Wana Yanga

44mg44

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2019
Posts
2,158
Reaction score
2,186
Simba oyee!

Niko hapa napiga stori na wanaYanga nikitoa hoja ya Barbra kuteuliwa CAF wananitukana na kutaka kunimeza.

Tena nkijumlisha na tuzo ya Sako ndo wanakasirika Zaidi. Jaman Wana Yanga mna matatzo gan?

Wataalam wa Saikolojia waelimisheni Wana Yanga
 
Umepata chakula cha mchana mwanachama mwenzetu wa mbumbumbu fc? Kama vipi tupitishe bakuli, ili upate hela ya kujikimu.

Maana una kila dalili ya kukosa utulivu kwenye kichwa chako.
 
Sioni sababu ya kuchukia mafankio ya mwenzio
 
Muda huu wa kazi?
Unatoa wapi nguvu ya kumzungumzia Babra baada ya kutafuta kula yako?
Mbona mtihan mkubwa huu aisee
Mkuu, usikariri. Wengine wanamiliki fremu Magomeni na Ilala, na wamezipangisha wanavuta tu mpunga kilaini. Kuna watu wazee wao walikamata maeneo muhimu kibiashara, watoto wamerithi wanakula tu mema ya nchi
 
Mataputapu
IMG_20220926_202912.jpg
 
Umeongeaa na wanayanga wangapiii na jee idadii hiyooo inatoshaa kutoaa takwinu za yangaa wotee isijee ukawa umebishana na watu watatu au wawili ukasema wotee yanga wapo hivyo kule kaenda kwa jukumu hajaenda kuisaidia simba sababu yeye hata ingiaa uwanjanii kwahiyo kama timu iko bora itafanya vizurii kama ni mbovu itavurunda hata wakimpa uraisi Nampongeza kutuwakilisha Mtanzania mwenzetu yule
 
Nmekuelewa mkuu
 
Back
Top Bottom