Umepata chakula cha mchana mwanachama mwenzetu wa mbumbumbu fc? Kama vipi tupitishe bakuli, ili upate hela ya kujikimu.Simba oyee!
Niko hapa napiga stori na wanaYanga nikitoa hoja ya Barbra kuteuliwa CAF wananitukana na kutaka kunimeza.
Tena nkijumlisha na tuzo ya Sako ndo wanakasirika Zaidi. Jaman Wana Yanga mna matatzo gan?
Wataalam wa Saikolojia waelimisheni Wana Yanga
Kwani tozo gani wamefuta?? Mbona Mimi Bado nakatwa?Tozo irudishwe kwa kweli
Mkuu, usikariri. Wengine wanamiliki fremu Magomeni na Ilala, na wamezipangisha wanavuta tu mpunga kilaini. Kuna watu wazee wao walikamata maeneo muhimu kibiashara, watoto wamerithi wanakula tu mema ya nchiMuda huu wa kazi?
Unatoa wapi nguvu ya kumzungumzia Babra baada ya kutafuta kula yako?
Mbona mtihan mkubwa huu aisee
Mataputapu
Nmekuelewa mkuuUmeongeaa na wanayanga wangapiii na jee idadii hiyooo inatoshaa kutoaa takwinu za yangaa wotee isijee ukawa umebishana na watu watatu au wawili ukasema wotee yanga wapo hivyo kule kaenda kwa jukumu hajaenda kuisaidia simba sababu yeye hata ingiaa uwanjanii kwahiyo kama timu iko bora itafanya vizurii kama ni mbovu itavurunda hata wakimpa uraisi Nampongeza kutuwakilisha Mtanzania mwenzetu yule