Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 4,095
- 13,016
Kwanza nikusahihishe ile ya misomosondo ni dance sio wimbo cha pili kijana punguza wivu utafika mbali mwanaume utakiwi kuwa na pigo kama za kike.Huyo Chris brown anacheza kila wimbo anaoskia hata wa misomosondo alishacheza sembuse huyo !!
Hizi ndio akili za watanzania alafu baadae mnawapigia kelele CCMMoja ya kafara kubwa ya freemason ni kufukuliwa. Then utafanikiwa.
Hawa wanataka kuleta kitu inaitwa new world order. Which is literally, everything/life against Heavenly GOD.
Kwa akili hiyo ulionayo wacha CCM waendelee kuwa madarakaniInawezekana P didy alifukua kweli mtaro we si unaona rafiki zake Juma lokole na yule dizaina mchele mchele kmmk
Kabisa ndugu chawa wa mashoga.Kwa akili hiyo ulionayo wacha CCM waendelee kuwa madarakani
Ndio mnataka hawa wawe ma vijana wa kenya ?wachambuzi wa Bongo