Kitendo cha Diamond Platnumz kwenda nyumbani kwa P. Diddy kimemlipa

Kwa hio P Diddy kachangangia Komasava kujulikana
 
Ukiamua kumtumikia shetani, unamtumikia mazima.
Ile kauli "mtumikie kafiri upate mtaji wako" aliielewa vyema
 
Lakini P Diddy hakumuacha salama, alimfumua marinda nasikia
 
Alisema mwenyewe kuwa aliitwa chumbani
Kama aliitwa chumbani wewe umethibitishaje alifanyiwa maana hakuna sehemu alisema alienda alafu hivi vitu mnavyovipa nafasi ndipo mnakuza huo ushoga
 
Milango haikufunguliwa tu bali ilifumuliwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…