Nimepiga kura kwa amani sana... sasa napata wasiwasi sana kusikia z'bar wanagoma kusaini, Arusha wanagoma ku-sign na pia nimesikia matokeo ya urais yasitangazwe hadi yajumulishwe...
Je ndio tunaanza kuelelea kenya experience?
Kama itakua hivyo, Kikwete na watu wako... hii ni damu yenu wala si ya wapinzani
sasa naanza rasmi kuwa na wasiwasi na amani... unapoona wabunge wa chama tawala tena waandamizi kama batilda, masha na diallo wanagoma kusain.... ni kiashiria gani kinaonyesha imani ya zoezi zima la uchaguzi??
let me be clear here..... huu ndio mwanzo wa vurugu
Kwa staili hii nafikiri machafuko hayakwepeki, hata mimi siwezi kukubali haki yangu ipotee hivihivi
kwanini kwanini kwanini, aliyosema dr slaa kuwa serikali na ccm , lakini siyo upinzani.
Na sasa tunaona kwa macho yetu. Anyway tusubiri