Kitendo cha Mbunge wa Butiama, Jumanne Sagini kushiriki kwenye mbio za baiskeli ni kawaida yake au ndo propaganda za uchaguzi?

Kitendo cha Mbunge wa Butiama, Jumanne Sagini kushiriki kwenye mbio za baiskeli ni kawaida yake au ndo propaganda za uchaguzi?

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
1,869
Reaction score
4,877
Wakuu,

Mbunge wa Jimbo la Butiama, Jumanne Sagini siku chache zilizopita alikaribisha kikundi cha waendesha baiskeli kinachoitwa TWENDE BUTIAMA.

Soma pia: Sagini: Wenye vikundi muandae miradi itayowawezesha kukopa pesa ndefu nawapigia debe

Kikundi hiki kiljumuisha waendesha baiskeli 84 kutoka mikoa 12 Tanzania Bara na visiwani, pamoja na washiriki kutoka nchi za Kenya, Burundi, Congo, Rwanda, Malawi, na Japan. Tukio hili lilifanyika Oktoba 13, 2024.

Naomba kuuliza, hizi ndo mbwembwe za kuelekea kwenye uchaguzi mkuu au ni kawaida yake?

Nawasilisha!

But1.jpeg


But2.jpeg
 
Kwanini mbunge mzima hazingatii usalama anaendesha baiskeli bila kuvaa helmet?

Kisa mtu kiongozi ndio anapindisha taratibu anaenda na masuti yake kwenye mashindano na kofia ngumu havai. Ajari haijali cheo chako bora hata angekuwa anaendesha peke yake sasa yupo kwenye msongamano mashindano kama hayo kugongana sio jambo la ajabu.
 
Back
Top Bottom