Kwanini mbunge mzima hazingatii usalama anaendesha baiskeli bila kuvaa helmet?
Kisa mtu kiongozi ndio anapindisha taratibu anaenda na masuti yake kwenye mashindano na kofia ngumu havai. Ajari haijali cheo chako bora hata angekuwa anaendesha peke yake sasa yupo kwenye msongamano mashindano kama hayo kugongana sio jambo la ajabu.