lugoda12
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 276
- 574
Kitendo cha mchezaji wa Yanga Bernad Morrison kutolewa nje kwa substitutions na yeye kuamua kutoka nje ya uwanja na hatimaye kuchukua bodoboda na kutokomea kusikojulikana. Tafsiri yake ni nini katika Soka na anastahili kupewa adhabu ganiš¤·š¾āāļø?