Kitendo cha mchezaji wa Yanga Bernad Morrison kutolewa nje kwa Substitutions na yeye kuamua kutoka nje ya uwanja na hatimaye kuchukua bodoboda na kutokomea kusikojulikana. Tafsiri yake ni nini katika Soka na anastahili kupewa adhabu gani🤷🏾♂️?
Maana yake ni kama hizi zifuatazo Mkuu...
1. Ameshawaona wana Yanga ni Wapuuzi
2. Ameshawaona wana Yanga ni Wajinga
3. Ameshawaona wana Yanga ni Wapumbavu
4. Ameshawaona wana Yanga ni Majuha
5. Ameshawaona wana Yanga ni wa Hovyo Hovyo
6. Ameshawaona wana Yanga ni Matahaira
7. Ameshawaona wana Yanga ni Utopolo kabisa
Adhabu pekee na nzuri kabisa anayotakiwa kupewa na nina Uhakika kuwa itamnyoosha na atakoma ni Yeye kuruhusiwa kwenda Simba au Azam.