wakimataifa.
JF-Expert Member
- Jun 7, 2015
- 1,625
- 558
Inasikitisha kusikia mkuu wa mkoa akizikamia timu kubwa kuhakikisha zinafungwa zikicheza na timu mkoa husika.
Hizi tabia ni za kusikitisha sana zote zipo nchini
Tabia hizo zipo sana hasa mikoa ya musoma,kagera,mwanza na mtwara.
Mbona hatusikii timu za mkoa wake zinazocheza na timu ndogo
Tunaomba vyombo vinavyohusika kukemea vitendo hivyo