wakimataifa.
JF-Expert Member
- Jun 7, 2015
- 1,625
- 558
Kwani kuna ubaya?Hii hamasa anayoitangaza Leo itaishia Kwenye mechi ya Simba.
Naomba hii comment itunzwe
Subiri tuoneHii hamasa anayoitangaza Leo itaishia Kwenye mechi ya Simba.
Naomba hii comment itunzwe
Ndiyo zao, wakacheze mpira maana hauchezwi chumbani.Naona Mikia aka Mbumbumbu mnaanza kulia kabla sindano hazijawaingia.
Hivi kuna staa gani anayeifanya kagera sugar kuogopwa na Simba kiasi hiki??
Hakuna ubaya, anatakiwa ajiweke tu wazi ka Ali Api wa iringa na akina Jeri Muro.Kwani kuna ubaya?
Yaani hilo ndo jambo la msingi haiwezekani unaacha timu ya eneo lako unaenda kuishabikia timu nyingine.Mimi ni simba lakini sioni tatizo hapo kwenye uhamasishaji wa mkuu wa mkoa wa Kagera ili mradi tu waamuzi wachezeshe kwa haki bila kuipendelea timu mwenyeji. Wangepatikana wakuu wa mikoa wengi wenye uhamasishaji kama huu soka lingekuwa sana kwani timu za mikoani zingekuwa zinapania kwa kujiandaa vizuri na hizi timu kubwa zingekuwa zinajiandaa vya kutosha ili kuepusha kuaibishwa. Tukiacha hizi timu kubwa zikawa zinaenda mikoani zikijua zinaenda tu kujichukulia pointi mpira wetu hautapiga hatua. Ni wakati sasa wa Simba kuonyesha thamani ya mabilioni ya usajili wao kulinganisha na usajili wa mamilioni kama sio wa malaki wa Kagera Sugar na sio muda wa kuanza kuangalia sijui mkuu wa mkoa kakamia mechi.
Tupo pamoja mkuu. Wakuu wa mikoa wahamasishe lakini wasiingilie mchakato wa mchezo uwanjani. Lakini hao Kagera wakiingiza siasa kwenye mpira kwamba wao wanakamia mechi moja tu ya Simba lakini ya Yanga hawakazi yatakuja kuwakuta yale yale ya Toto African kutamba kumfunga Simba huku wanashuka daraja.Yaani hilo ndo jambo la msingi haiwezekani unaacha timu ya eneo lako unaenda kuishabikia timu nyingine.
But, kwa mpira wa hapa bongo umeingiliwa na siasa za mpira wa Simba na Yanga hilo hakuna aliyepona.
Ndo mana wajuzi wa mambo tunasema kwa nia ile ile aliyonayo tuone pia uhamasishaji wa nguvu hata Yanga akienda kucheza pale kaitaba na Kagera sugar.
Hakuna ubaya, anatakiwa ajiweke tu wazi ka Ali Api wa iringa na akina Jeri Muro.
Asije akajifanya anahamasisha ili apate public sentiment, afu baada ya mechi ya Simba anapotea haijali tena team.