secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 2,998
- 4,948
Ewe mzazi ukiona mtoto wako mdogo anapinga uwepo wa mungu usimshangae au kumwadhibu kwa sababu hiyo ni dalili kuwa mtoto wako anajaji Kila kitu anachoambiwa na mtu mwingine hata kama anamuheshimu kwa mfano mzazi.
Kwenye utamadauni wa kiafrika mtoto hatakiwi kipinga mawazo ya mtu mzima au mtu mwenye cheo ndiyo maana hadi leo watanzania wengi tunaamini anachokiseme kiongozi mkubwa wa nchi bila kujaji.
Mashehe, Mapadre na wachungaji wanisamehe bure kwa hiki nilichokiandika.