Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 12,658
- 16,205
wakumbushe wanaingia jioni wakawapokee, mwaka mashabiki wa utopolo watakufa kwa pressure halafu Tanzania tutaambiwa tuna wagonjwa wengi wa corona kwa sababu matokeo wanayotegemea Simba kupata kwenye michuano ya mabingwa Afrika yanakuja tofauti huku wao kwenye ligi wanazidi kuvurundaMechi za CAF za simba zinahusiana vipi na Muenendo wa Yanga SC?
Kwamba Simba wakifungwa na Al Ahly na Al Merekh points zake kwenye msimamo wa ligikuu zitapungua? SIJAKUSOMA.
Timu yenu haina tofauti na timu ya ndondo kuhusu ubingwa sahauni kwani Mnyama break imekatika kila atakayejitokeza ni kichapo na tutatangaza ubingwa bado mechi tatu na kama tungecheza na nyie mapema tungetangaza bado mechi tano.Hujui kitu wewe, kwanini washabiki wasimba wanatamba kua simba kumfunga vita kumewaondoa yanga kwenye focus
Hiyo ni saikolojia ndogo tu utopofanya vibaya huko lazima pressure itakua kubwa kutoka kwa mashabiki wenu na wale wa upande wa pili hivyo wachezaju ni rahisi kupoteza morali kwani watakua wanacheza kwa pressure ili kutuliza atmosphere na hapo ni rahisi kwa kupoteza hata mechi za ligi kuu, na hii ndio kitu kimetokea kwa yanga hizi sare zimewapoteza kwenye Focus pressure imekua kubwa kutoka kwa mashabiki wa yanga hata wa upande mwingine pamoja na viongozi, na matokeo yake ndio hayo tuyaona
Japo mimi nahamini msimu yanga ana nafasi kubwa ya kua bingwa kuliko timu yoyote ile ya ligi kuu
Unaisolveje changamoto wakati tff yote ni simba tupu, hakuna pa kupenyea. Kesi ya ngedere unampelekea nyani kuna kitu hapo?!
Mechi tunaangalia zote za simba na yanga, penye uonevu panaonekana wazi tu.
Hizo danadana za kesi za yanga mnadhani hatuoni
Kuna haja gani ya kuendelea kucheza kama mmeishapanga bingwa, si bora kujiondoa mjitangaze kabisa.
Umeanza vizuri umemaliza kitopoloHujui kitu wewe, kwanini washabiki wasimba wanatamba kua simba kumfunga vita kumewaondoa yanga kwenye focus
Hiyo ni saikolojia ndogo tu utopofanya vibaya huko lazima pressure itakua kubwa kutoka kwa mashabiki wenu na wale wa upande wa pili hivyo wachezaju ni rahisi kupoteza morali kwani watakua wanacheza kwa pressure ili kutuliza atmosphere na hapo ni rahisi kwa kupoteza hata mechi za ligi kuu, na hii ndio kitu kimetokea kwa yanga hizi sare zimewapoteza kwenye Focus pressure imekua kubwa kutoka kwa mashabiki wa yanga hata wa upande mwingine pamoja na viongozi, na matokeo yake ndio hayo tuyaona
Japo mimi nahamini msimu yanga ana nafasi kubwa ya kua bingwa kuliko timu yoyote ile ya ligi kuu
Kibaya zaidi kaongelea kama Yanga haitafaidika na maamuzi ya referee uwanjani. What if Mwamnyeto kaunawa kwenye 18? What if Nchimbi kabaki na kipa kapaisha? Vip kama Mauya akapigana na mtu alafu apewe umeme? Yote hayo hajayasema wakati yanaweza kutokea. Hata timu mnayocheza nayo ina haki ya kulalamika against maamuzi mabovu kama haya.Mimi ni shabiki wa Yanga kama nijulikanavyo hapa jukwaani.
Ila nimeshangaa kinoma kuona Mwakalebela akiitisha vyombo vya habari na kuanza kulalamika kuhusu kuonewa na waamuzi viwanjani, cha ajabu zaidi anasema kuwa Yanga itajitoa kwenye ligi endapo changamoto alizozisema zikiendelea. Binafsi ninaona ni ujinga wa kiwango cha juu zaiidi kwa kiongozi mkubwa kama yule wa klabu kufanya jambo kama lile la kijinga.
Ni kweli changamoto ya uamuzi imeonekana, lakini sio sababu ya Timu kushindwa kufanya vizuri mpaka uitishe vyombo vya habari na kuanza kuwalalamikia wengine kwa makosa yao wenyewe viongozi. Kushindwa kupata matokeo mazuri recently kumetokana na machaguo ya kijinga ya mwalimu na sio kwa sababu ya kunyimwa penati.
Ushamba huu iliwahi kufanywa na Haji Manara alipokuwa anaita waandishi wa habari akiwa na Flat Screen akionyesha jinsi Simba ilivyokuwa inanyimwa penati. Sasa inakuwaje kiongozi wa juu wa hadhi yake arudie kufanya ushamba wa aina hii?
Ametukera na kutuudhi wengi.
Wewe inabidi nikutaftie kamba leoleo😂😂😂 Kwa nini uteseke wakati unaweza kupumzika milele😂😂😂Wewe ulipost hii taarifa ndio mshamba mkubwa wewe kwa elimu yako ya masuala ya mpira utajilinganisha na Mwakalebela usimfundishe kitu cha kuongea utajilinganisha na mtu mwenye Masters mikia ni mikia tu ndio shida ya kuuza timu kwa wahindi Mo mhindi ceo ndio walewale meneja wa timu ya wanawake mtoto wa Mo hapi ndipo mtu mwenye akili angequestion hapo oo kwa sababu tunapata matokeo mazuri basi hivi uliisikia taarifa ya fedha ya simba kwa nwaka uliopita mmepigwa na hamjitambua kazaneni na hayo sio habari za Mwakalebela wewe kubishana na Mwakalebela ni sawa na mtoto wa darasa la nne kubishana na mwanafunzi wa chuo kikuu katika mambo ya Equestion
Mimi pia ni yanga lakini kwa huo upuuzi nimesikitika sanaMimi ni shabiki wa Yanga kama nijulikanavyo hapa jukwaani.
Ila nimeshangaa kinoma kuona Mwakalebela akiitisha vyombo vya habari na kuanza kulalamika kuhusu kuonewa na waamuzi viwanjani, cha ajabu zaidi anasema kuwa Yanga itajitoa kwenye ligi endapo changamoto alizozisema zikiendelea. Binafsi ninaona ni ujinga wa kiwango cha juu zaiidi kwa kiongozi mkubwa kama yule wa klabu kufanya jambo kama lile la kijinga.
Ni kweli changamoto ya uamuzi imeonekana, lakini sio sababu ya Timu kushindwa kufanya vizuri mpaka uitishe vyombo vya habari na kuanza kuwalalamikia wengine kwa makosa yao wenyewe viongozi. Kushindwa kupata matokeo mazuri recently kumetokana na machaguo ya kijinga ya mwalimu na sio kwa sababu ya kunyimwa penati.
Ushamba huu iliwahi kufanywa na Haji Manara alipokuwa anaita waandishi wa habari akiwa na Flat Screen akionyesha jinsi Simba ilivyokuwa inanyimwa penati. Sasa inakuwaje kiongozi wa juu wa hadhi yake arudie kufanya ushamba wa aina hii?
Ametukera na kutuudhi wengi.
Na 5 mtapigwa kweli lakini hiyo haotaisaidia yanga kabisaPona pona ya yanga kurudi kwenye mstari ni sisi labda tupigwe 5 na wale waarabu hapa nyumbani lakini tukitoa draw au kushinda uto lazima wajitoe kwenye ligi kweli kama walivyo sema.yaani tume wa athiri ki saikolojia kweli na sasa tuna jionea wenyewe.
Mwana yanga mwenzangu hoja sio mwakalebela ana elimu gani,lakini hayo aliyosema yanalingana na hiyo elimu yake?Wewe ulipost hii taarifa ndio mshamba mkubwa wewe kwa elimu yako ya masuala ya mpira utajilinganisha na Mwakalebela usimfundishe kitu cha kuongea utajilinganisha na mtu mwenye Masters mikia ni mikia tu ndio shida ya kuuza timu kwa wahindi Mo mhindi ceo ndio walewale meneja wa timu ya wanawake mtoto wa Mo hapi ndipo mtu mwenye akili angequestion hapo oo kwa sababu tunapata matokeo mazuri basi hivi uliisikia taarifa ya fedha ya simba kwa nwaka uliopita mmepigwa na hamjitambua kazaneni na hayo sio habari za Mwakalebela wewe kubishana na Mwakalebela ni sawa na mtoto wa darasa la nne kubishana na mwanafunzi wa chuo kikuu katika mambo ya Equestion
Wala hakuongea,na ukiangalia rwkodi za caf hakuna kesi ya yanga,na hao waandishi mazuzu hiki swali hawakumuulizaAkuzunumzia kuhusu BM ile kesi ya CAS?
Sasa inakuwaje, kila YANGA, ikianza kuchechemea ambacho kwenye mpira ni kitu cha kawaida tu,viongozi wenu wanaanza kuhamisha goli(kuja na hoja za kipuuzi)ili kukwepa wanachama/washabiki wasiwajie juu?kutaka kujua nini kinaendelea??kuna kipindi ilianza hivi wakaja na hoja ya MORISON!!Sie wenyewe tunaangalia mpira mkuu, tuna macho na akili timamu
Mwisho ungetoa solution la waamuzi nngekuunga mkono, kumbuka ni kweli Yanga wamenyimwa penalty mbeya na taifaMimi ni shabiki wa Yanga kama nijulikanavyo hapa jukwaani.
Ila nimeshangaa kinoma kuona Mwakalebela akiitisha vyombo vya habari na kuanza kulalamika kuhusu kuonewa na waamuzi viwanjani, cha ajabu zaidi anasema kuwa Yanga itajitoa kwenye ligi endapo changamoto alizozisema zikiendelea. Binafsi ninaona ni ujinga wa kiwango cha juu zaiidi kwa kiongozi mkubwa kama yule wa klabu kufanya jambo kama lile la kijinga.
Ni kweli changamoto ya uamuzi imeonekana, lakini sio sababu ya Timu kushindwa kufanya vizuri mpaka uitishe vyombo vya habari na kuanza kuwalalamikia wengine kwa makosa yao wenyewe viongozi. Kushindwa kupata matokeo mazuri recently kumetokana na machaguo ya kijinga ya mwalimu na sio kwa sababu ya kunyimwa penati.
Ushamba huu iliwahi kufanywa na Haji Manara alipokuwa anaita waandishi wa habari akiwa na Flat Screen akionyesha jinsi Simba ilivyokuwa inanyimwa penati. Sasa inakuwaje kiongozi wa juu wa hadhi yake arudie kufanya ushamba wa aina hii?
Ametukera na kutuudhi wengi.
Hatuna waandishi tuna maripota ambao wanaandika kile wanachoambiwa, hivi waandishi wameshindwa kufatilia kujua kama kesi ya Morison ipo au haipo halafu mtu anayewaita kila siku anakuja na hadithi mpya wanashindwa hata kumhoji juu ya kesi.Wala hakuongea,na ukiangalia rwkodi za caf hakuna kesi ya yanga,na hao waandishi mazuzu hiki swali hawakumuuliza