Kitendo cha Simba kumkosa Jwaneng Galaxy kwake na kuanza kumsifia Benchika kuwa timu imeimarika ni upuuzi tu

Leo Gwanengy kachezea pale pale kwake mabao 2 0 na Asec, sisi tulimkosa sana na tulivokuwa wasahalifu tukaanza kumsifia Benchika kaibadilisha timu, cjui ss hv timu inacheza vzr, cjui nini, ujinga ujinga mwiiiingi, sasa Leo ndio tutamkataa kabisa huyo Benchika.
Waliomsifia ni wajinga wachache wasioujua mpira, Simba alikutana na kibonde jwaneng na akashindwa kumfunga, alionekana kacheza vizuri kutokana na timu aliyokutana nayo ata kwenye darasa la wajinga lazima apatikane mwenye nafuu atayeshika namba 1 ndicho kilichotokea kwa Simba na jwaneng!
 
Simba kuna utoto mwingi. Tena siyo Simba SC pekee, hata Simba Queens pia kuna utoto. Kule Simba Kids ndo usiseme. Yote hayo yanadhihirisha kuwa shida ya Simba sio kocha bali Mangungu &co, hawajui mpira.
 
Kocha amekaa na timu siku moja kabla ya mechi, utopolo acheni upuuzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utoto wa Simba Queens unachangiwa na kocha na viongozi, Mgosi Kama kocha Hana uwezo, ameshindwa timu ya vijana wanampa timu ya wanawake. Viongozi wameshindwa kupata makocha wazuri kwani Kila mchezaji anaonekana ni mzuri lakini hawachezi Kama timu isiyofundishwa.
 
Upo sahihi mkuu. Wachezaji wanatumia vipaji tu kucheza. Hawajui hata maeneo gani ni ya hatari hivyo hupaswi kufanya ujinga flani. Nakereke sana na Simba hii ya Mangungu na Try Again.
 
Kocha amekaa na timu siku moja kabla ya mechi, utopolo acheni upuuzi

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa msemaji wenu na baadhi ya mbumbumbu wenzako wachache ndio walisema kocha kaibadilisha timu imeonekana kuwa na Kasi ingekuwa vizuri ukawauliza kocha anaibadili vipi timu aliyokaa nayo siku 5?
 
Shida ni elimu sio TU Simba hata yanga kote ni hayo hayo
 
Waliomsifia ni wajinga wachache wasioujua mpira, Simba alikutana na kibonde jwaneng na akashindwa kumfunga, alionekana kacheza vizuri kutokana na timu aliyokutana nayo ata kwenye darasa la wajinga lazima apatikane mwenye nafuu atayeshika namba 1 ndicho kilichotokea kwa Simba na jwaneng!
Galaxy alimpiga Wydad nyumbani kwao,kitu ambacho club yako haijaweza kufanya
 
Leo Jwaneng Galaxy kachezea pale pale kwake mabao 2 - 0 na Asec, sisi tulimkosa sana na tulivokuwa wasahalifu tukaanza kumsifia Benchika kaibadilisha timu, cjui ss hv timu inacheza vizuri, sijui nini, ujinga ujinga mwiiiingi, sasa Leo ndio tutamkataa kabisa huyo Benchika.
Acheni upuuuzi, siku hazilingani.
HUYO UTOPOLO unayetaka asifiwe TOKEA MWAKA 1936 hajawahi kushinda MCHEZO WOWOTE WA KLABU BINGWA AFRIKA HATUA YA MAKUNDI. MAGOLI yenyewe aliyonayo ni 2 aliyofunga Pacome mwaka huu 2023.
Fikiria miaka 88 bila ushindi lkn kwa upuuzi na ujinga wenu mnamsifia kama misukule kisa Payroll ya GSM.
Simba ambao ambao wamefanya kila maajabu kumbuka OD OR DIE, Kumbuka War in Dar, Kumbuka kwa Mkapa hatoki mtu nk nk leo anapitia upepo mbaya mnachooooonga maaaamae zenu
 
Simba kuna utoto mwingi. Tena siyo Simba SC pekee, hata Simba Queens pia kuna utoto. Kule Simba Kids ndo usiseme. Yote hayo yanadhihirisha kuwa shida ya Simba sio kocha bali Mangungu &co, hawajui mpira.
Shida kubwa ya Simba ni siasa kuanzia kwa mwekezaji,wajumbe wa bodi na management ya timu.
mtendaji mkuu wa Simba CEO Imani Kajula ana mambo mengi ambayo ameyaanzisha lakini hayana mwendelezo,hio inaonyesha ni mkurupukaji au hana rasilimali za kusimamia program nyingi alizoanzisha.

Mwenyekiti wa bodi na mwenyekiti wa wanachama wote hawana historia ya kusimamia jambo la kitaasisi likafanikiwa!bado wana mawazo ya kizamani na mbinu wanazotumia ni zile za miaka ya tisini, bila kuelewa mpira wa sasa umebadilika sana unaitaji mbinu na mipango thabiti.

Wajumbe wa bodi ya wakurungenzi wanaonekana wamelala tu wanawaza uchaguzi mkuu wa 2025 jinsi watakavyo chukua fomu za ubunge,wanatafuta umaarufu na kujijenga.

Simba wanapaswa wajifunze kwa TP Mazembe na Asec mimosa pamoja na changamoto walizopitia ila wana mifumo imara na wanalijua soka la Africa kiundani.

maana hata wakiteleza msimu mmoja,lakini unaona wanajipanga na kufanya vizuri tena kwa msimu unaokuja hawana bla!bla! Wala siasa za kijinga wana mipango mizuri na ya uhakika,tatizo letu uku siasa nyingi na porojo za kijinga tu.
 
Leo Jwaneng Galaxy kachezea pale pale kwake mabao 2 - 0 na Asec, sisi tulimkosa sana na tulivokuwa wasahalifu tukaanza kumsifia Benchika kaibadilisha timu, cjui ss hv timu inacheza vizuri, sijui nini, ujinga ujinga mwiiiingi, sasa Leo ndio tutamkataa kabisa huyo Benchika.
Rekebisha maelezo, Galaxy ndio walimkosa Simba.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom