Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Waliomsifia ni wajinga wachache wasioujua mpira, Simba alikutana na kibonde jwaneng na akashindwa kumfunga, alionekana kacheza vizuri kutokana na timu aliyokutana nayo ata kwenye darasa la wajinga lazima apatikane mwenye nafuu atayeshika namba 1 ndicho kilichotokea kwa Simba na jwaneng!Leo Gwanengy kachezea pale pale kwake mabao 2 0 na Asec, sisi tulimkosa sana na tulivokuwa wasahalifu tukaanza kumsifia Benchika kaibadilisha timu, cjui ss hv timu inacheza vzr, cjui nini, ujinga ujinga mwiiiingi, sasa Leo ndio tutamkataa kabisa huyo Benchika.
Kocha amekaa na timu siku moja kabla ya mechi, utopolo acheni upuuziWaliomsifia ni wajinga wachache wasioujua mpira, Simba alikutana na kibonde jwaneng na akashindwa kumfunga, alionekana kacheza vizuri kutokana na timu aliyokutana nayo ata kwenye darasa la wajinga lazima apatikane mwenye nafuu atayeshika namba 1 ndicho kilichotokea kwa Simba na jwaneng!
Utoto wa Simba Queens unachangiwa na kocha na viongozi, Mgosi Kama kocha Hana uwezo, ameshindwa timu ya vijana wanampa timu ya wanawake. Viongozi wameshindwa kupata makocha wazuri kwani Kila mchezaji anaonekana ni mzuri lakini hawachezi Kama timu isiyofundishwa.Simba kuna utoto mwingi. Tena siyo Simba SC pekee, hata Simba Queens pia kuna utoto. Kule Simba Kids ndo usiseme. Yote hayo yanadhihirisha kuwa shida ya Simba sio kocha bali Mangungu &co, hawajui mpira.
Upo sahihi mkuu. Wachezaji wanatumia vipaji tu kucheza. Hawajui hata maeneo gani ni ya hatari hivyo hupaswi kufanya ujinga flani. Nakereke sana na Simba hii ya Mangungu na Try Again.Utoto wa Simba Queens unachangiwa na kocha na viongozi, Mgosi Kama kocha Hana uwezo, ameshindwa timu ya vijana wanampa timu ya wanawake. Viongozi wameshindwa kupata makocha wazuri kwani Kila mchezaji anaonekana ni mzuri lakini hawachezi Kama timu isiyofundishwa.
Sasa msemaji wenu na baadhi ya mbumbumbu wenzako wachache ndio walisema kocha kaibadilisha timu imeonekana kuwa na Kasi ingekuwa vizuri ukawauliza kocha anaibadili vipi timu aliyokaa nayo siku 5?Kocha amekaa na timu siku moja kabla ya mechi, utopolo acheni upuuzi
Sent using Jamii Forums mobile app
Leo ndo tutaona uwezo wake halisiSasa msemaji wenu na baadhi ya mbumbumbu wenzako wachache ndio walisema kocha kaibadilisha timu imeonekana kuwa na Kasi ingekuwa vizuri ukawauliza kocha anaibadili vipi timu aliyokaa nayo siku 5?
Galaxy alimpiga Wydad nyumbani kwao,kitu ambacho club yako haijaweza kufanyaWaliomsifia ni wajinga wachache wasioujua mpira, Simba alikutana na kibonde jwaneng na akashindwa kumfunga, alionekana kacheza vizuri kutokana na timu aliyokutana nayo ata kwenye darasa la wajinga lazima apatikane mwenye nafuu atayeshika namba 1 ndicho kilichotokea kwa Simba na jwaneng!
Klabu yangu ipi iliyocheza na whydad?Galaxy alimpiga Wydad nyumbani kwao,kitu ambacho club yako haijaweza kufanya
Ndio haiwezi kumfunga sababu haikuwahi kufika hata level za kucheza naye, miaka 25.!Klabu yangu ipi iliyocheza na whydad?
Acheni upuuuzi, siku hazilingani.Leo Jwaneng Galaxy kachezea pale pale kwake mabao 2 - 0 na Asec, sisi tulimkosa sana na tulivokuwa wasahalifu tukaanza kumsifia Benchika kaibadilisha timu, cjui ss hv timu inacheza vizuri, sijui nini, ujinga ujinga mwiiiingi, sasa Leo ndio tutamkataa kabisa huyo Benchika.
Shida kubwa ya Simba ni siasa kuanzia kwa mwekezaji,wajumbe wa bodi na management ya timu.Simba kuna utoto mwingi. Tena siyo Simba SC pekee, hata Simba Queens pia kuna utoto. Kule Simba Kids ndo usiseme. Yote hayo yanadhihirisha kuwa shida ya Simba sio kocha bali Mangungu &co, hawajui mpira.
Rekebisha maelezo, Galaxy ndio walimkosa Simba.Leo Jwaneng Galaxy kachezea pale pale kwake mabao 2 - 0 na Asec, sisi tulimkosa sana na tulivokuwa wasahalifu tukaanza kumsifia Benchika kaibadilisha timu, cjui ss hv timu inacheza vizuri, sijui nini, ujinga ujinga mwiiiingi, sasa Leo ndio tutamkataa kabisa huyo Benchika.