Kitendo cha Simba kuwasha moto uwanjani dhidi ya Orlando Pirate hakitawaharibia?

Kitendo cha Simba kuwasha moto uwanjani dhidi ya Orlando Pirate hakitawaharibia?

Koryo2

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2016
Posts
2,056
Reaction score
2,519
Kabla ya mchezo baina ya Simba na Orlando Pirates Simba walifanya kituko cha kuwasha moto na kuweka duara kwa kuzunguka ule moto.

Je, hiki kituko hakitawaharibia?.
 
Kabla ya mchezo baina ya Simba na Orlando Pirates Simba walifanya kituko cha kuwasha moto na kuweka duara kwa kuzunguka ule moto. Je hiki kituko hakitawaharibia?.
Kiwaharibie na washatolewa? Uswahili mavi
 
Caf huwa wanawabeba sana makolo kwenye matukio ya hovyo kama haya.
 
Caf ni wenzetu tumezoeana nao kwa kua tunakutana mara kwa mara huko ucafuni nyie mnabebwa na TFF kwa kua ndio inayosimamia ligi yenu ya mbuzi huko uswahilini

Hamuwezi kubishana na timu ya ki-diaspora
Simba nae SI yupo kwenye hiyo ligi ?
 
Caf ni wenzetu tumezoeana nao kwa kua tunakutana mara kwa mara huko ucafuni nyie mnabebwa na TFF kwa kua ndio inayosimamia ligi yenu ya mbuzi huko uswahilini

Hamuwezi kubishana na timu ya ki-diaspora
Teh teh teh teh..😂😂😂..umetisha aisee.
 
Kabla ya mchezo baina ya Simba na Orlando Pirates Simba walifanya kituko cha kuwasha moto na kuweka duara kwa kuzunguka ule moto.

Je, hiki kituko hakitawaharibia?.
Kiwaharibie wapi?
Kanuni za CAF ni tofauti na TFF
 
Imagine ule uchawi walipanda nao kwenye ndege!..cjui nani aliubeba? Isije kuwa Matola.
Kuna uwezekano hawa jamaa wakatozwa faini. Maana Shirikisho la mpira wa miguu la Afrika ya Kusini limedhamiria kuwashtaki CAF kwa vitendo vyao vya kichawi uwanjani.
 
Caf ni wenzetu tumezoeana nao kwa kua tunakutana mara kwa mara huko ucafuni nyie mnabebwa na TFF kwa kua ndio inayosimamia ligi yenu ya mbuzi huko uswahilini

Hamuwezi kubishana na timu ya ki-diaspora
Mnakutana kwa waganga?

Sasa wa uswahilini hapa ni nan?
Screenshot_20220428-233459.jpg
Screenshot_20220428-233344.jpg
Screenshot_20220428-214040.jpg
 
Ilikuwa baridi sana, moto ulitumika kulegeza misuri kabla ya game. Kama ipo Kanuni inakataza hayo tusubiri hukumu [emoji4]
 
Simba nae SI yupo kwenye hiyo ligi ?
Yupo ila anaishiriki kama chaguo oa pili baada ya kulamba takribani bilioni 3 za robo fainali sasa anarudi kujifanya anafanana nao na mbea wao wa timu naskia ameshawaambia eti hiyo mechi ya mbuzi ya tar 30 eti ni dabi!! Kamwambie sisi Caf anatutafutia dabi ya kiafrika kati ya kaizer, orlando , beroane ama al ahli
 
Back
Top Bottom