Kitendo cha vijana wengi hasa sokoni kushtuka baada ya kujambishwa au kuguswa sehem fulan

Kitendo cha vijana wengi hasa sokoni kushtuka baada ya kujambishwa au kuguswa sehem fulan

spea mkononi

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2015
Posts
345
Reaction score
324
Habari za mda huu waungwana.

Kuna hili tatizo la midadi kwa vijana walio wengi dukuduku langu ni kua hili ni ugonjwa au ni nini na linasababishwa na nini na kama ni ugonjwa tiba ikoje?! Ni hayo tuu.
 
Ni tabia chafu walioiendekeza, hakuna kingine
Au kwasababu Ww haumwi ,huwezi kujua utamu wa ngoma mpk uucheze

Hao wenye matatizo hayo ni wagonjwa wa mabusha,mkuu siku ukiumwa busha ndio utajua ni kujiendekeza au laa
 
Me mwenyewe nilipoona title ya mada yako nimestuka, tunateseka sana ila basi tu.
 
iyo inaitwa KISHARUWALA,Kuna mtu ukimgusa Shingo au mshipa WA goto Ni balaa,
 
Utotoni tulikuwa tunamjambisha mzee mmoja alikuwa na busha,mzee anastuka na kutukana Sana,nadhani ni aina Fulani ya maradhi.
 
Back
Top Bottom