spea mkononi
JF-Expert Member
- Oct 5, 2015
- 345
- 324
Au kwasababu Ww haumwi ,huwezi kujua utamu wa ngoma mpk uuchezeNi tabia chafu walioiendekeza, hakuna kingine
pole sana mwanaMe mwenyewe nilipoona title ya mada yako nimestuka, tunateseka sana ila basi tu.
hyo hali ndo kwamba tayari mtu ana busha au n mihemko tuuiyo inaitwa KISHARUWALA,Kuna mtu ukimgusa Shingo au mshipa WA goto Ni balaa,