kitenge agoma kureport kocha mpya wa sima

CHIZI VITABU

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2021
Posts
1,061
Reaction score
2,477
Lile jamaaa kwa kweli Mungu alisamehe tu, limeweka mgomo bana linatafutaa angle mbaya ili liweze kutweet hapo roohoo inaliuma vibaya mnoooo

Kamtafute ZUZU MSUKULE mpeane ideas jinsi ya kureport kama mnayokaaaga na kukubaliana ukireport habari za simba uwe unamuita Mo dewji BWANYENYE

unaboa sana uzuri ni kwamba hujui mpira zaidi ya unazi na ushambenga
 
Sasa si uripoti wewe, yaani hujafungwa mkono wala mdomo ila unalaumu wengine kwa kazi ambayo ungeweza kuifanya wewe.
 
Mwanaume ahangaike kutafuta hela ya bando bado umpangie namna ya kutumia? wanawak nba shida gani?
 
Kitenge ananikumbusha James Nhende aliyekua muandishi/mhariri wa michezo wa gazeti la Mfanyakazi miaka ya 1980s. Jamaa alikua nazi wa Yanga mpaka wasomaji wote wanajua

Siku Yanga ikichezea kichapo kwenye derby ya Kariakoo badala ya kuandika habari za mchezo husika yeye ukurasa wa michezo anaweka takwimu za nani kati ya Simba na Yanga kamfunga mwenzake mara nyingi!!!!

Maulid Kitenge anakera na aina yake ya uana habari. Na kama ulivyosema hata mpira wenyewe haujui na huo uandishi pia hatoshi
 
Jinga lile juzi lilipost twitter Simba imekwama kupata kocha,kapatikana jana anaugulia moyoni
 
Mwanaume ahangaike kutafuta hela ya bando bado umpangie namna ya kutumia? wanawak nba shida gani?

Hiyo ndio professional yake, Na moja ya majukumu ni kureport taarifa zinazohusiana na Michezo...Hii ndiyo kazi yake!

Mara nyingi anatumia platform zake za Social media kutoa taarifa za michezo.. So, anawajibu wa kutoa taarifa kwa audience/followers wake.

Swali ni?

Bado hajaipata hii taarifa(This trending/big story in Africa)...It's means haendi na wakati(update)

Or

Sababu n trending story na walimwengu wote wameipata ameona hakuna haja ya kureport

Punguzeni Makasiriko[emoji2]
 
Mwingine huyu, wewe nani amekuzuia hadi unahitaji kusaidiwa.
 
Lile jamaaa kwa kweli Mungu alisamehe tu, limeweka mgomo bana linatafutaa angle mbaya ili liweze kutweet hapo roohoo inaliuma vibaya mnoooo

Kamtafute ZUZU MSUKULE mpeane ideas jinsi ya kureport kama mnayokaaaga na kukubaliana ukireport habari za simba uwe unamuita Mo dewji BWANYENYE

unaboa sana uzuri ni kwamba hujui mpira zaidi ya uazi na ushambenga
Kwel ww jamaa ni chizi , jina lako linajisadifu , sasa unaanzaje kumlalamikia mwanaume mwenzio hajakufanyia kitu Fulani wakati hata ww unaweza kufanya , hizi tabia za kulalamikia wanaume waachie wanawake
 
Wacha weeeee
 
Report wewe inatosha.

Usilazimishe habari yako iende hewani kama bashite alivyokua analazimisha wanahabari wa clouds.
 
Lile jamaaa kwa kweli Mungu alisamehe tu, limeweka mgomo bana linatafutaa angle mbaya ili liweze kutweet hapo roohoo inaliuma vibaya mnoooo

Kamtafute ZUZU MSUKULE mpeane ideas jinsi ya kureport kama mnayokaaaga na kukubaliana ukireport habari za simba uwe unamuita Mo dewji BWANYENYE

unaboa sana uzuri ni kwamba hujui mpira zaidi ya unazi na ushambenga
Ukiona mwanaume hana kichogo na ana kidoti basi elewa kuwa hamna kitu hapo. Ana mambo ya kishoga shoga sana angalia macho yake na anavyobinua midomo ndiyo maana kakimbiwa na mmoja wa wake zake
 
Lile jamaaa kwa kweli Mungu alisamehe tu, limeweka mgomo bana linatafutaa angle mbaya ili liweze kutweet hapo roohoo inaliuma vibaya mnoooo

Kamtafute ZUZU MSUKULE mpeane ideas jinsi ya kureport kama mnayokaaaga na kukubaliana ukireport habari za simba uwe unamuita Mo dewji BWANYENYE

unaboa sana uzuri ni kwamba hujui mpira zaidi ya unazi na ushambenga
Mkuu wewe umesha ripoti kwenye social media zako zote?
 
Back
Top Bottom