CHIZI VITABU
JF-Expert Member
- Jun 12, 2021
- 1,061
- 2,477
😂😂😂Mkuu usiumie nimaamuzi yake mwenyewe, account ya social media ni yake,simu na vocha anaweka yeye acha kumpangia atumie vipi.
Ipo siki atataka mkewe aje kushindiliwa ana watu wengine...Watu kama wewe ni tatizo acha kulaumu wengine fanya wewe.
anaugulia maumivu kwa sasa...vipi kuhusu chama naskia mmevunja mkataba huko Berkane....MAZUZU mkoSasa si uripoti wewe, yaani hujafungwa mkono wala mdomo ila unalaumu wengine kwa kazi ambayo ungeweza kuifanya wewe.
Jinga lile juzi lilipost twitter Simba imekwama kupata kocha,kapatikana jana anaugulia moyoniKitenge ananikumbusha James Nhende aliyekua muandishi/mhariri wa michezo wa gazeti la Mfanyakazi miaka ya 1980s. Jamaa alikua nazi wa Yanga mpaka wasomaji wote wanajua
Siku Yanga ikichezea kichapo kwenye derby ya Kariakoo badala ya kuandika habari za mchezo husika yeye ukurasa wa michezo anaweka takwimu za nani kati ya Simba na Yanga kamfunga mwenzake mara nyingi!!!!
Maulid Kitenge anakera na aina yake ya uana habari. Na kama ulivyosema hata mpira wenyewe haujui na huo uandishi pia hatoshi
Mwanaume ahangaike kutafuta hela ya bando bado umpangie namna ya kutumia? wanawak nba shida gani?
Kwel ww jamaa ni chizi , jina lako linajisadifu , sasa unaanzaje kumlalamikia mwanaume mwenzio hajakufanyia kitu Fulani wakati hata ww unaweza kufanya , hizi tabia za kulalamikia wanaume waachie wanawakeLile jamaaa kwa kweli Mungu alisamehe tu, limeweka mgomo bana linatafutaa angle mbaya ili liweze kutweet hapo roohoo inaliuma vibaya mnoooo
Kamtafute ZUZU MSUKULE mpeane ideas jinsi ya kureport kama mnayokaaaga na kukubaliana ukireport habari za simba uwe unamuita Mo dewji BWANYENYE
unaboa sana uzuri ni kwamba hujui mpira zaidi ya uazi na ushambenga
Wacha weeeeeKwel ww jamaa ni chizi , jina lako linajisadifu , sasa unaanzaje kumlalamikia mwanaume mwenzio hajakufanyia kitu Fulani wakati hata ww unaweza kufanya , hizi tabia za kulalamikia wanaume waachie wanawake
AiseeeeeMkuu usiumie nimaamuzi yake mwenyewe, account ya social media ni yake,simu na vocha anaweka yeye acha kumpangia atumie vipi.
Mkuu unajua afrika imetikisika hadi spain lunyasi simba ina trend?Report wewe inatosha.
Usilazimishe habari yako iende hewani kama bashite alivyokua analazimisha wanahabari wa clouds.
Ukiona mwanaume hana kichogo na ana kidoti basi elewa kuwa hamna kitu hapo. Ana mambo ya kishoga shoga sana angalia macho yake na anavyobinua midomo ndiyo maana kakimbiwa na mmoja wa wake zakeLile jamaaa kwa kweli Mungu alisamehe tu, limeweka mgomo bana linatafutaa angle mbaya ili liweze kutweet hapo roohoo inaliuma vibaya mnoooo
Kamtafute ZUZU MSUKULE mpeane ideas jinsi ya kureport kama mnayokaaaga na kukubaliana ukireport habari za simba uwe unamuita Mo dewji BWANYENYE
unaboa sana uzuri ni kwamba hujui mpira zaidi ya unazi na ushambenga
Mkuu wewe umesha ripoti kwenye social media zako zote?Lile jamaaa kwa kweli Mungu alisamehe tu, limeweka mgomo bana linatafutaa angle mbaya ili liweze kutweet hapo roohoo inaliuma vibaya mnoooo
Kamtafute ZUZU MSUKULE mpeane ideas jinsi ya kureport kama mnayokaaaga na kukubaliana ukireport habari za simba uwe unamuita Mo dewji BWANYENYE
unaboa sana uzuri ni kwamba hujui mpira zaidi ya unazi na ushambenga