Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda ameenda semina ya siku tatu tu, kama angekuwa amehamia angesema yeye mwenyeweNimeona kwenye insta,Maulid kitenge,akiwa anasoma magazeti,huku akiwa ndani ya chumba kinachoonesha ni studio ya VOA,je ni kweli kahamia huko,mwenye taarifa atujuze
Kwenye ukurasa wa Mange anaonekana akisoma magazeti,huku akidai yoote yameandika ubaya wa uongozi Trump,ila inaonyesha anauponda uongozi wa Rais wa Fiji alikotoka yeye!Labda ameanda semina ya siku tatu tu, kama angekuwa amehamia angesema yeye mwenyewe
Ingia kwenye page ya Kitenge kila kitu kimewekwa waziKwenye ukurasa wa Mange anaonekana akisoma magazeti,huku akidai yoote yameandika ubaya wa uongozi Trump,ila inaonyesha anauponda uongozi wa Rais wa Fiji alikotoka yeye!
Nimeona kwenye insta,Maulid kitenge,akiwa anasoma magazeti,huku akiwa ndani ya chumba kinachoonesha ni studio ya VOA,je ni kweli kahamia huko,mwenye taarifa atujuze
Ingia kwenye page ya Kitenge kila kitu kimewekwa wazi
Sasa wewe uliyeingia na kubahatika kujua kinachoendelea si uweke hapa wazi kilakitu?
Hujasoma maelezo yake?Nimeona kwenye insta,Maulid kitenge,akiwa anasoma magazeti,huku akiwa ndani ya chumba kinachoonesha ni studio ya VOA,je ni kweli kahamia huko,mwenye taarifa atujuze
Aisee..kumbe ule udambwi dambwi wa Kitenge kutaga form 4 kumbe una ukweli..Mungu wa ajabu sana, ukikosa huku, anakupa kule!
Unaweza pata "O" shuleni, ukapata "A" mtaani!
Kuna wengi waliofeli shule na kuna wengi waliofaulu shule ambao wameajiriwa na waliofeli shule.Aisee..kumbe ule udambwi dambwi wa Kitenge kutaga form 4 kumbe una ukweli..