Tetesi: Kitenge kahamia VOA??

Stayfar

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2016
Posts
1,088
Reaction score
2,287
Nimeona kwenye insta,Maulid kitenge,akiwa anasoma magazeti,huku akiwa ndani ya chumba kinachoonesha ni studio ya VOA,je ni kweli kahamia huko,mwenye taarifa atujuze
 
Kwenye ukurasa wa Mange anaonekana akisoma magazeti,huku akidai yoote yameandika ubaya wa uongozi Trump,ila inaonyesha anauponda uongozi wa Rais wa Fiji alikotoka yeye!
Ingia kwenye page ya Kitenge kila kitu kimewekwa wazi
 
Nimeona kwenye insta,Maulid kitenge,akiwa anasoma magazeti,huku akiwa ndani ya chumba kinachoonesha ni studio ya VOA,je ni kweli kahamia huko,mwenye taarifa atujuze

Yupo DC, bila shaka kapata shavu uko VOA.
 
Reactions: BAK
Ana natural talent kwenye tasnia ya utangazaji. Yupo sober and focused
 
Mungu wa ajabu sana, ukikosa huku, anakupa kule!
Unaweza pata "O" shuleni, ukapata "A" mtaani!
 
Kama ni kweli..MUNGU azidi kumsimamia
 
Reactions: BAK
Mbona kasema yote kuwa Napita njia but kakaribishwa kusalimia
 
Itakuwa kaamia huko ughaibuni kusaka ugali mzee mwenzangu
 
Nimeona kwenye insta,Maulid kitenge,akiwa anasoma magazeti,huku akiwa ndani ya chumba kinachoonesha ni studio ya VOA,je ni kweli kahamia huko,mwenye taarifa atujuze
Hujasoma maelezo yake?
 
Alipita kusalimia tuu wakati alipoenda DC....

Kapewa fursa ya kutoa salamu tuu ila bado yeye ni muumini wa E FM na TV E.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…