OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Original post and source
Shaffii source yake ikiwa hiyo ya juu.
My Take
Naelewa tatizo sio lugha ila ni kufikiria mambo katika mlengo wa njaa. Yaani inaanza njaa baadae ndio unafikiria.
Dauda na Kitenge nyie ni wazee sasa. Lindeni heshima kidogo mliyokuwa nao. Hizi nafasi kubwa wanazipata kina Barbra na Hersi zingepaswa kuwa zenu, ila kwa sababu ya kuendekeza njaa na kujipendekeza mnajikuta machawa wa watoto wa juzi.