OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tatizo jez ya yanga ipo nafasi yapili sasa wana wakaona isiwe tabu uzi umeshika namba 2 afrikaaa
Njaa inayosemwa hapa si ya tumbo ile ya kimaumbile ambayo kila mtu anayo. Tabia ya kujipendekeza ili kushibisha tumbo lako, ndiyo Njaa inayosemwa hapa.Kwahiyo Barbra na Hersi hawana njaa? Au Shafii ana njaa zaidi?
Na wewe umeamua ujitoe ufahamu?Basi tufanye Jezi za SIMBA ni kali kuliko za YANGA.
You are better than thisKwahiyo Barbra na Hersi hawana njaa? Au Shafii ana njaa zaidi?
Kuna kipindi fulani hata wewe usilishawahi leta uzi humu na chanzo ikawa hiyo pageView attachment 2401974
Original post and source
View attachment 2401976
Shaffii source yake ikiwa hiyo ya juu.
My Take
Naelewa tatizo sio lugha ila ni kufikiria mambo katika mlengo wa njaa. Yaani inaanza njaa baadae ndio unafikiria.
Dauda na Kitenge nyie ni wazee sasa. Lindeni heshima kidogo mliyokuwa nao. Hizi nafasi kubwa wanazipata kina Barbra na Hersi zingepaswa kuwa zenu,ila kwa sababu ya kuendekeza njaa na kujipendekeza mnajikuta machawa wa watoto wa juzi.
Hoja hapa sio chanzo, bali ni Shafii kupotosha,kupindua maudhui ya chanzo?Kuna kipindi fulani hata wewe usilishawahi leta uzi humu na chanzo ikawa hiyo page
Shafih dauda na alex lwambano wale kimalikia kimewapitia kushotoHapo Shaffi ameshindwa kuelewa lugha ya malkia. Hajui hiyo lugha, hata ukimsikiliza akiwa anaongea kingereza chake cha shule ya Azania ni kibovu.
Mchambuzi pekee niliemsikia anaongea kiingereza safi fluent ni Jeff Leah tu. Halaf kuna wale madogo Hashim Ibwe wa Azam na Ahmed Abdallah wa Wasafi fm nao wanaongea kiingereza kizuri.
Wengine wanaunga unga tu kwa mfano Gift Macha ni aibu hadi anatia huruma.